Kuna mtu anaitwa Kalikenya wa Magufuli, jamani yuko wapi?

Kuna mtu anaitwa Kalikenya wa Magufuli, jamani yuko wapi?

Enzi na Enzi

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2020
Posts
888
Reaction score
821
Kalikenya alisimama kidete kuelezea masaibu waliyokuwa wanayapata ktk Gereza kuu la Butimba huko Mwanza.

Baada yatukio lile, kuna maneno mengi yalisemwa kuhusu Kalikenya, na hata baada ya msamaha wa rais, Kalikenya hakutangazwa, wala kuonekana kutoka katika msamaha huo, kitu kilichopelekea wengine kusema, Kalikenya alikuwa ni usalama wa taifa.

Kwa anayejua taarifa za Kalikenya, mzee wa data za gereza la Butimba, mzee wa unaniinua mimi!! atujuze, maana wengine wanadai Kalikenya ni mfanyakazi wa Ikulu.
 
Kalikenya, Kalikunya, Kalikwambe, Kalikawe... haya majina haya..!!
 
Back
Top Bottom