Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Kuna kitu nimejiuliza huyu mtu yeye kwenye maandamano hakuwepo alikua nje eti anaibuka anasema wanaume wanaogopa kujipambania nchi hivi huyu bwege anajua kwenye maandamano ground asilimia g5% walikua wanaume yaani hatumii akili hivi huyu mtu mzima kweli halafu kwingine anasema tuende Kwa amani polisi watupige risasi Kwa kigezo dunia inaona hivi huyu anajua thamani ya uhai kweli huyu ni msaliti mtakuja kujua baadae