Mkuu kama ulitegemea kutu bully kalale tu hatuwezi makabila mengine yafanye ushenzi alaf mtusingizie sisi.Wanasema wasukuma ni watani wa kila mtu π ila kusema ukweli bwana hao ni wasukuma
Pumaf wwπWanavaa ndio, pia kuna wakaka wanavaa sketi
Wewe ndio ukalale kwa kuwa unatamani kujitetea ila huna point ya msingiMkuu kama ulitegemea kutu bully kalale tu hatuwezi makabila mengine yafanye ushenzi alaf mtusingizie sisi.
wamasai njaa kali cheki kwanza vitapia mlo huwezi Kuta msukuma kajichokea kama hiyo misukule
Karibu sana Mwanza wanakoishi Wakwanza!π€£π€£ Mkuu acha utani basi
Huyu mtoto amelithibitisha hiliSio kila kitu kinapaswa kuendelezwa kwa kisingizio eti ni utamaduni
... wanakwenda shule na wakirudi nyumbani tunawa'socialize'!Mwanza tutakuja ila haya mambo yenu muache, anzeni kupeleka mabinti zenu shule
Ni huzuniNaona kama mpira wa kona hivi?View attachment 3614896
We jamaa huwa unaniacha hoi sana dahππSisi nyani tuna matatizo sana.
Muendelezo wa tamaduni za kipumbavu
Umeanza vibaya unafikiri utapata majibuHebu tuelezee vizuri hiyo chagulaga ndio inakuwaje
Nn tena bossWe jamaa huwa unaniacha hoi sana dahππ
Jinsi ubongo wako unavyofanya kazi, unatoaga comment za kuchekesha yaani kama mtu anakunywa chai anaweza kupaliwaNn tena boss
Kuna mambo mengn hata hakuna haja ya kuumiza kichwaJinsi ubongo wako unavyofanya kazi, unatoaga comment za kuchekesha yaani kama mtu anakunywa chai anaweza kupaliwa