Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kipo wapiKeds .
Kibaha pwani picha ya ndegeKipo wapi
Tusaidiane nafasi za Ajira bado zipo? Tukajaribu bahati ukoKibaha pwani picha ya ndege
Nafasi zipo, je una PESA? Nisikudanganye mkuu kama huna pesa tena kazi za viwandani utasugua sana. Unatoa hongo unaingia kazini hali hii ni kawaida sana sasa hivi. Otherwise uwe na mtu hiyo sehemu.Tusaidiane nafasi za Ajira bado zipo? Tukajaribu bahati uko
Tena huyo mtu alipie PESA. Au awe na cheo kikubwaTusaidiane nafasi za Ajira bado zipo? Tukajaribu bahati uko
Icho kiwanda kinanya production ya bidhaa gani na mshahara kwa unavyojua ni kiasi gani? Na ilo swala la kuhonga unahonga bei gani naomba kutambuaNafasi zipo, je una PESA? Nisikudanganye mkuu kama huna pesa tena kazi za viwandani utasugua sana. Unatoa hongo unaingia kazini hali hii ni kawaida sana sasa hivi. Otherwise uwe na mtu hiyo sehemu.
Kwanza sijasema kiwanda, numesema viwanda. KAZI nyingi za viwandani lazima utoe hongo hayo ni makubaliano ya mtu anayeku konekti yeye alitoa kiasi gani ukaingia kazini. Halafu siwezi kutaja ni kiwanda gani maana hii mitandao hapana. Halafu kuhusu kiwanda ni production za bidhaa. Ndani ya hizo production ungeuliza ni position ipi? Kuna wale layman, kuna sales person, kuna wale production wanatumia mashine kuzalisha, kuna ma drivers, kuna suppliers, kuna bursars n.k. nishafanya kiwanda fulani kwenye production kila siku ni Tsh 9000.Icho kiwanda kinanya production ya bidhaa gani na mshahara kwa unavyojua ni kiasi gani? Na ilo swala la kuhonga unahonga bei gani naomba kutambua
Napataje mawasiliano yako inaonyesha unaweza nisaidia jambo nikapata ajiraKwanza sijasema kiwanda, numesema viwanda. KAZI nyingi za viwandani lazima utoe hongo hayo ni makubaliano ya mtu anayeku konekti yeye alitoa kiasi gani ukaingia kazini. Halafu siwezi kutaja ni kiwanda gani maana hii mitandao hapana. Halafu kuhusu kiwanda ni production za bidhaa. Ndani ya hizo production ungeuliza ni position ipi? Kuna wale layman, kuna sales person, kuna wale production wanatumia mashine kuzalisha, kuna ma drivers, kuna suppliers, kuna bursars n.k. nishafanya kiwanda fulani kwenye production kila siku ni Tsh 9000.
PM kuna mtu yupo sehemu ana nafasi kubwa nitajaribu japo huwa anaombwa na watu wengi. zingatia tu endelea kutafuta na sehemu zingine usitegemee sehemu moja. Narudia tena nitajaribu kuongea nae ikiwezekana sawa ikishindikana sawa maisha yanasonga!Napataje mawasiliano yako inaonyesha unaweza nisaidia jambo nikapata ajira
5000 no kwa sauti kubwaElf 5 kwa siku kwa masaa 10 ya kumzalishia muhindi ukirudi home lazima upitie panadol una akili kweli. Hela inaishia kwenye nauli na mama ntile unabakia na mia 5 nauli ya kesho tena kuwahi kazi ya umanamba kisa tu upo mjini.
Si zaidi ya hio KWA wengi.5000 no kwa sauti kubwa
Wapo wanaolipwa ela nzuri mbona😂😂 the problem uwe na vyeti halafu na mtu pia. Hiyo elfu5 ni wengi ambao hawana vyeti. Nina watu naishi nao ma layman ukiingia chumbani kwake unaweza kukataa ni swala la mipango tu. Mtaji wa maskini ni nguvu zake5000 no kwa sauti kubwa
😂😂😂😂 Unasoma na ukija mjini kutafuta elimu unaiweka pembeni unapambana mambo yatajipa uko mbeleni tu amna namnaSi zaidi ya hio KWA wengi.
Kupakia viroba,ndoo za mafuta kwenye semi kumi KILA siku.
Unapiga Kazi mwili wote unauma hadi unakumbuka kwann ukumaliza shule angalau ukawa Mwalimu wa hata tuition Ili maisha yasonge.
Vyeti Vipo mdau lete connection mafanikio ni swala la muda na nidhamu ya pesaWapo wanaolipwa ela nzuri mbona😂😂 the problem uwe na vyeti halafu na mtu pia. Hiyo elfu5 ni wengi ambao hawana vyeti. Nina watu naishi nao ma layman ukiingia chumbani kwake unaweza kukataa ni swala la mipango tu. Mtaji wa maskini ni nguvu zake