Kuna mtu anaomba msaada kwa wanaojua kuhusu hii

Kuna mtu anaomba msaada kwa wanaojua kuhusu hii

jay msona

Member
Joined
Aug 16, 2018
Posts
11
Reaction score
2
Jamaa yangu kila siku amekuwa akiniuliza ni bidhaa gani ambazo unaweza kwenda kuziuza China zinazo toka tanzania na wachina wanazihitaji sana? Na upelekaji wake ukoje yaani usafiri? Msaada wenu wana jf
 
Jamaa yangu kila siku amekuwa akiniuliza ni bidhaa gani ambazo unaweza kwenda kuziuza china zinazo toka tanzania na wachina wanazihitaji sana? Na upelekaji wake ukooje yani usafiri? Msaada wenu wana jf
Ana shiling ngap nimpe konection nzuri
 
Back
Top Bottom