BABA TUPAC
JF-Expert Member
- Sep 30, 2015
- 1,527
- 3,811
Ngwea >>> King Zilla >>> Bill Nas
Kama umekuja mjini jana usiku huwezi kunielewa
Kama umekuja mjini jana usiku huwezi kunielewa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Isije ikawa vile nilivyowazaNgwea >>> King Zilla >>> Bill Nas
Kama umekuja mjini jana usiku huwezi kunielewa
Halafu kuna wapumb.avu wakawa wanamshindanisha na Bill Nas....upuuzi sana!!Alikuwa mkali sana
Inaitwa punch after punch,yupo stamina na izzo.Kuna pini alifanya na izzo bizzness pls kama mtu anaijua jina
Poa sana mkuuInaitwa punch after punch,yupo stamina na izzo.
Hapo mwishoni kama alichizi kabisa
jamaa alikuwa mkali sanaMsanii wangu bora wa muda wote King zizi kifo chake naumia had kesho aisee hakuwahi kuwa na kaz mbovu huyo.
Mashabiki tunataka melody na flow..... muda kusikiliza neno kwa neno them tuchambue na kufikiri hatuna. The kid got flow and melody, from 50 though.... I liked himYes, dude was overrated. Nice on the beat, but the pen was a joke. Ushamba ulipitiliza pia. But anyway, pengine kuna bars wengine hatukuziskia, so mliomuelewa mnaweza kutusanua tuone.
Mashabiki tunataka melody na flow..... muda kusikiliza neno kwa neno them tuchambue na kufikiri hatuna. The kid got flow and melody, from 50 though.... I liked him