Kuna mtu anataka kuniuziya kiwanja maeneo ya pugu naomba kujuwa taratibu za kufuata nisijee kutapeliwa hatua ya kwanza hadi nilipe pesa nakaribisha ushauri wenu wakuu
Mwambie akupe hati ya kiwanja ukahakikishe kwa msajili wizara ya ardhi kama ni halali au feki, kabla ya kulipana baada ya hapo mtafute wakili akuandie mkataba wa mauziano.