Kuna mtu anataka kuniuziya kiwanja chenye hati naomba kujuwa utaratibu wa kufuata

Kuna mtu anataka kuniuziya kiwanja chenye hati naomba kujuwa utaratibu wa kufuata

tabu kuishi

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2011
Posts
353
Reaction score
43
Kuna mtu anataka kuniuziya kiwanja maeneo ya pugu naomba kujuwa taratibu za kufuata nisijee kutapeliwa hatua ya kwanza hadi nilipe pesa nakaribisha ushauri wenu wakuu
 
Mwambie akupe hati ya kiwanja ukahakikishe kwa msajili wizara ya ardhi kama ni halali au feki, kabla ya kulipana baada ya hapo mtafute wakili akuandie mkataba wa mauziano.
 
nenda ardhi kwa msajili wa hati kafanye search .... search fee ni Tsh 10,000 ... only two days you will have official search report
 
Back
Top Bottom