HELLO! GUYS
Dada yangu amemaliza secondary 2005 na kwenda A level, baada ya hapo alisoma cheti(2010) cha account katika chuoo cha IAA Arusha,, since hapo akusoma tena kitu kingine, now it's second year anajaribu kuomba nafasi ya kusoma masoma ya jioni kwenye Open University (OPEN UNIVERSITY ARUSHA) wana mwambia jina lake kuna MTU anatumia KIGOMA.
Naomba msaada mwenu na mawazo yenu, kuna hatua nyingine ya kuchukua au nikusubiri tu chuoo anacho taka kusoma wafatile au kuna njia nyingine ya kufanya.
Asante sana.