Kuna mtu anatumia cheti cha dada yangu

Kuna mtu anatumia cheti cha dada yangu

Bratherkaka

Senior Member
Joined
Apr 30, 2012
Posts
101
Reaction score
10
HELLO! GUYS

Dada yangu amemaliza secondary 2005 na kwenda A level, baada ya hapo alisoma cheti(2010) cha account katika chuoo cha IAA Arusha,, since hapo akusoma tena kitu kingine, now it's second year anajaribu kuomba nafasi ya kusoma masoma ya jioni kwenye Open University (OPEN UNIVERSITY ARUSHA) wana mwambia jina lake kuna MTU anatumia KIGOMA.

Naomba msaada mwenu na mawazo yenu, kuna hatua nyingine ya kuchukua au nikusubiri tu chuoo anacho taka kusoma wafatile au kuna njia nyingine ya kufanya.

Asante sana.
 
Waombeni hao wawape info za mwajiri ili mumjue mwajiri wake ni nani na mkishapata nendeni polisi mkatoe ripoti.
 
nakushauri nenda ukatoe taarifa TAKUKURU mkoa wa ARUSHA naamini watakusaidia sana maana malalamiko kama haya au hili wana utalaamu nayo na kuna watu wengi wa issue kama hii akiwemo rafiki yangu alishawahi kusaidiwa.!!
 
Asante sana!@ kunaanzia kesho nitaanza kufanya hivyo!@ nawashukuru sana!.
Be blessed
 
Has to verify if the Kigoma certifficate is her's. Records zipo pale aliposoma pamoja na picha zake. Kwani ni cheti kipi sasa "O", "A" au cha accounts?
 
Dada yako almuuzia au ilkuwaje mpaka huyo mtu akakpata il njue la kukusaidia.
 
Back
Top Bottom