mwambie amevurugwa
Huyo mtu ni wewe,unaweza kufanya hivyo kwanza kutegemeana na uwezo wako wa akili,pili ratiba za hivyo vyuo kutokuingiliana.Jitathimini uamue maana kozi zote zimeshiba.
Inawezekana, ila kwa nini asiamue kusoma kozi moja?
Dah! tabu zote hizi ni kutokana na ugumu wa ajira ktk nchi yetu...watu wanasoma ili waajiriwe
hiyo ndio raha ya kuvuta bange huku ukiwa unakata gogo
ishu iko pale pepa zitakapo-coride!!
hiyo ndio raha ya kuvuta bange huku ukiwa unakata gogo
Inawezekana ila atataabika vibaya mno, hasa pale mitihani itakapoingiliana. Ushauri, kama ni wa mwaka wa kwanza aombe asome Geology hapo hapo UDOM ipo.
tena zote degree