habari wana jf. . . .kuna mtu ameniomba ushauri katika jambo hili,sasa nashndwa kumshauri kwa sababu sijawah kumuona mtu akifanya. . .ni kwamba huyu mtu anataka kusoma degree na diploma kwa wakati mmoja,na mambo yenyewe ni tofauti ambapo degree ni ya information system(udom) na diploma ni ya geology and mineral exploration(chuo cha madini) tena ktk institution tofauti mkoani dodoma. . . . .
Naomba maoni yako tafadhali,asante.
Naomba maoni yako tafadhali,asante.