Kuna mtu anayajua mazmolo anisaidie hili

Kuna mtu anayajua mazmolo anisaidie hili

Joined
Aug 10, 2013
Posts
76
Reaction score
7
Ni aina ya vitu vinavyomtokea anaeashiria kunenepa kama mamchirizi flani nayoyaulizia mimi ni meusi je yana dawa?
 
Hizo ni cellulites. Tumia bio oil kwa muda mrefu sana ndio zinatoka. Sidhani kama inasababishwa na unene. Inaweza kuwa genetical ama ina uhusiano na kutumia kemikali za kujichubua. Nina mpango wa kujielimisha zaidi juu ya hii
 
Solution hii hapa ni product za forever ni nzuri vitu vyote hapo ni 117,900 kama unataka ni PM.
attachment.php
 

Attachments

  • IMG-20140426-WA005.jpg
    IMG-20140426-WA005.jpg
    47.9 KB · Views: 134
Back
Top Bottom