Mimi kaniongezea nyama kwenye kitabu change cha ujasiriamali kwamba kumbe Sera ambazo hazina muelekeo ,hata km una elimu nzuri na mtaji huwezi kutobia 'policy uncertainty' in other words use of un guided policy, has negative effect to business growth or successBaada ya kifo chake kumezuka makundi makubwa mawili yanayo kinzana. Moja ni wale wanaoamini kuwa alikuwa shujaa wa kipekee na ameifanyia nchi yetu makubwa. Kundi la pili wanamuona kama rais mbovu kuwahi kutokea, dikteta, fisadi, mkabila, katili nk.
Kwa maelezo hayo naweza kusema kuwa ni rais aliyekuwa controversial. Je kuna anayeweza kuandika kitabu juu ya urais wake kwa usahihi na ukakubalika?
Baada ya kifo chake kumezuka makundi makubwa mawili yanayo kinzana. Moja ni wale wanaoamini kuwa alikuwa shujaa wa kipekee na ameifanyia nchi yetu makubwa. Kundi la pili wanamuona kama rais mbovu kuwahi kutokea, dikteta, fisadi, mkabila, katili nk.
Kwa maelezo hayo naweza kusema kuwa ni rais aliyekuwa controversial. Je kuna anayeweza kuandika kitabu juu ya urais wake kwa usahihi na ukakubalika?
View attachment 1748970
View attachment 1748971
View attachment 1748972Kwa hizi 'multiple standards', woga na njaa watz hatufiki popote. Hivi angekuwepo Jiwe jamaa angethubutu kusema hayo? Angejipendekeza tu na kuimba mapambio ya ku sapoti SGR na miradi mingine
Ndugu, ulichokiwasilisha ni oversize kwa akili za JF iliyojaa mashabiki.Baada ya kifo chake kumezuka makundi makubwa mawili yanayo kinzana. Moja ni wale wanaoamini kuwa alikuwa shujaa wa kipekee na ameifanyia nchi yetu makubwa. Kundi la pili wanamuona kama rais mbovu kuwahi kutokea, dikteta, fisadi, mkabila, katili nk.
Kwa maelezo hayo naweza kusema kuwa ni rais aliyekuwa controversial. Je kuna anayeweza kuandika kitabu juu ya urais wake kwa usahihi na ukakubalika?
Naomba nisimame upande wako Mkuu, uwe na siku njema, umejua kujibu kwa ufasahUrais wake unaweza kuelezewa kwa maneno machache
1. Incompetent
2. Dictatorial
3. Populist
4. Strongman
Na Summary yake ni kuwa utawala wake ulikuwa FAILURE
Ataendelea kuishi both +ve & -ve way. Kwa mazuri ya awamu hii tunashukuru. Lakini pia kwa mabaya ya awamu hii tumejifunza mengi kama taifaNdugu, ulichokiwasilisha ni oversize kwa akili za JF iliyojaa mashabiki.
Kuna kiongozi wakati wa kuaga alisema JPM ataishi miaka mingi kwenye mioyo ya watanzania, we can see now. Kaiteka mijadala na siasa za nchi na itaendelea kuwa hivyo kwa muda mrefu.
Kuna msemo unasema, legends never die.
Ataendelea kuishi kwenye moyo wako tu, usiwasemee watu wengine wana mioyo yao, yaani kama mimi hakuna hata chembe ya nafasi kwenye moyo wangu naweza kuweka kitu kama hicho, viko vitu vingi vinahutaji nafasi kwenye moyo wangu siwezi kuweka jiweAtaendelea kuishi both +ve & -ve way. Kwa mazuri ya awamu hii tunashukuru. Lakini pia kwa mabaya ya awamu hii tumejifunza mengi kama taifa
unaongea kitu gani wewe? Hata Idd Amin, Hitla, Musolin bado wanaishi kwenye mioyo ya watu kwa maana kwamba bado wanakumbukwa. Hatukumbuki waliotenda mema tu, hata waliofanya fyongo tutawakumbuka, so sidhani kama utaweza kujifanya eti usimkumbuke Magufuli. Kwa mazuri or otherwise utamkumbuka tu!Ataendelea kuishi kwenye moyo wako tu, usiwasemee watu wengine wana mioyo yao, yaani kama mimi hakuna hata chembe ya nafasi kwenye moyo wangu naweza kuweka kitu kama hicho, viko vitu vingi vinahutaji nafasi kwenye moyo wangu siwezi kuweka jiwe
Sawa kabisa, alikuwa very incompetent kama alivyokuwa Idd Amin. Watu wa aina hii wanachukia democrasia vibaya mno!Urais wake unaweza kuelezewa kwa maneno machache
1. Incompetent
2. Dictatorial
3. Populist
4. Strongman
Na Summary yake ni kuwa utawala wake ulikuwa FAILURE