Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 1,254
- 2,014
Ebu tuache uoga... Let’s talk real, Mwaka 2025 bado watu wanakaza roho wanadai kuna malaika wanaofly juu juu bila drone, hawana GPS wala WiFi, lakini wanajua unachofanya eti wanaandika kila kitu. Wapi bana!?
Eti kuna malaika wa kulinda, mwingine wa kukatakata watu wakifa, mwingine kazi yake ni kusimama tu juu ya arshi. What a *** is that bro!? Hii ni century ya Quantum Computing na Neuralink halafu bado unaniambia kuna kiumbe wa kiroho hajawahi kuonekana, hajawahi ku-scaniwa but still unaamini yupo!?
Let’s keep it a buck:
Hizi ni hadithi tulipeea tukiwa watoto ili tusifanye fujo?
Au ni psychological comforting stories binadamu akijisikia peke yake basi anabuni invisible friend.
Kama malaika wapo, walikuwa wapi wakati wa vita, mateso, au majanga kama Covid? Walikuwa wapi wakati watu wanapigwa risasi bila hatia?
Narudia hizi ni hadithi za kitoto.