GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Karibu sana Mama na Asante kwa Kunifolo GENTAMYCINE hapa JamiiForums, ila nikuahidi tu kuwa japo Unanifolo, Unanipenda na Kunifuatilia sana, ila sitoacha Kukukosoa ukiharibu na Kutofurahia ukipatia kwani Mimi furaha yangu ni Wewe Kujichanganya Kiutendaji ili nipate cha Kukusiliba hivyo Nivumilie / Tuvumiliane japo Nakukubali mno tu kama Kiongozi wangu Mkuu wa nchi.
Kazi Njema na Kazi iendelee.
Kazi Njema na Kazi iendelee.