mi nimemuona jana jioni anasema anaenda kwenye kikao cha harusi...halafu kiti cha abiria kulikua na mwanamke mi nilijua ni wewe maana alisema ni dada yake
kwa hiyo mi nianze kabisa kununua baby wipes!au nichague jina kabisaaaaa!hebu we pendekeza jina shosti wangu BADILI TABIAhebu acha kuwaita ita wako busy kujaza dunia
ah !jamni pacha wangu mwenzenu!mwenzenu kaniachiwa ziwa kwa mama yetu na kachukua urefu wa baba!please Watu 8 hizi ni taarifa kwa mujibu wa geshi re porisi au wale aliokuwa nao kwenye kikao cha harusi?
alikuja Mbezi beach akiwa na dada yake anaitwa hairball....walinikutwa kwenye swimming pool naogelea.....nilipopiga mbizi kuibuka sikuwaona....labda umuulize Boflo ndo alikuwa anaongea nao......
mmmhh!!...yaani mdogo wangu pacha wangu wa kuachiana ziwa snowhite usiwe na wasiwasi (ila nimejua kumbe unanipenda sana tena saaaaana)...japo sikukuaga lakini amini tu 'handsome boy' wenu niko salama...fanya mama ajue manake siunamjua na mipresha zake!!. Najua Preta alitaka kuniletea za kuleta huko kwao Mbezi..na hata watu8 japo nilimkaushia lakini naona kaamua kumwaga mtama kwenye bata wengi. Ni kweli yalinikuta makubwa pacha wangu snowhite ntakupa mpango mzima nikija pande zako.., hao kina Ruttashobolwa sio watu kabisa..hilo geshi la polishi!..lol! sakapal wangu wamenichukulia na mimi wamenipa mwaisha magumu..ila sio issue bana.. BADILI TABIA si bora hata ningekuwa naijaza dunia...lolest!..My dada FP nipo salama ila sema sijatulia..salimia familia!!!
afadhali pacha wake mlongo wangu umerudi, maana pacha wako snowhite alishapata presha. wifi hajambo? kaloweka nguo zote huwezi kutoka? lol!mmmhh!!...yaani mdogo wangu pacha wangu wa kuachiana ziwa snowhite usiwe na wasiwasi (ila nimejua kumbe unanipenda sana tena saaaaana)...japo sikukuaga lakini amini tu 'handsome boy' wenu niko salama...fanya mama ajue manake siunamjua na mipresha zake!!. Najua Preta alitaka kuniletea za kuleta huko kwao Mbezi..na hata watu8 japo nilimkaushia lakini naona kaamua kumwaga mtama kwenye bata wengi. Ni kweli yalinikuta makubwa pacha wangu snowhite ntakupa mpango mzima nikija pande zako.., hao kina Ruttashobolwa sio watu kabisa..hilo geshi la polishi!..lol! sakapal wangu wamenichukulia na mimi wamenipa mwaisha magumu..ila sio issue bana.. BADILI TABIA si bora hata ningekuwa naijaza dunia...lolest!..My dada FP nipo salama ila sema sijatulia..salimia familia!!!
shem kwanza nataka kukuhoji kuhusiaana na kesi ya my pacha!inakuwaje uliamua kumtolea siri zake wazi wazi hiv?sasa amekam free like a molecule mbona utajibeba!Ana case najaribu kuipitia hapa nitawambia baada ya kuikamilisha nitawambia ni case gani. Ila yuko salama
πoa
πoaπoa:biggrin::lol::A S 465::biggrin::biggrin::lol::A S 465:πoaasavali!manake watu washasema sana huku oh ndo wewe ulikuwa unafanya kazi TRA ,mara oh we ndo uliongoza kikosi jamii,mara oh juzi usiku ulikuwa kwenye kikao cha harusi mpaka saa 7 kwa kweli mradi tu maneno yalikuwa mengi sana kuhusu kutokuonekana jamvini,kuna mtu akaniambia uko na thesis unatafuta sijui nini,basi mradi tu home ilikuwa sintofahamu!mama yetu presha juu hasa pale Preta aliposema eti ulivoenda mbezi beach ulikua na mdada anaitwa hairball mi ndo nikaona mh!hebu nitoe angalizo!