LD mara tatu?? Huyo mwanamke wa aina gani asokuwa na soni usoni mwake??
Kapata mwanaume mpole lakini aangalie "Ukiona Kobe kainama................................."
Atakuja mfanyia kitu mbaya hakutarajia hivi kwa akili yake kabisa anamuona huyo mwanaume ni mwehu kumsamehe samehe tu
Hapo kuna jambo litampata tena si dogo
Yani huyu bibie kashafumwa kaka angu.
Kama wewe hapo swala kama hili ungefanya je AK-47?
Ok huwezi kumsamehe, sasa ungefanya je? Unampa Talaka, Unamfukuza kama Mbwa, unamrudisha kwao au unafanya je?
Ni kweli aendelee tu kumsamehe tu tena amake sure account yake ya msamaha bado ina balance ya kutosha kwa ajili ya next msamaha kwani huyu dada anaonekana hiyo ndio tabia yake. Kama amefumaniwa mara 3 imagine sioni sababu kwanini asitende tena huo uharamu wake. Kitu kingine hapa, hizi mara 3 ni fumanizi, yeye anajuwa mara ngapi ametoka nje ya ndoa, mara 3 alizofumaniwa na mara kadhaa ambazo alimaliza salama bila kufumaniwa, this is serious jamani tuacheni masihara. Ila jamaa naye anastahili tuzo kwa kweli mmhh yataka moyo si mchezo.
By the way LD, aliyekuomba ushauri ni mume au mke? Kuna siku humu JF kuna kaka mmoja alijadiliwa tabia zake mbaya watu wakaomba features zake ili wajikinge naye. Natamani tungetajiwa features za huyo dada japo kdg ili sisi tusiooa tukae mbali kabisa na ndugu zake isijekuwa ni tabia ya ukoo maana ni noma kwa kweli.

Aende Makongo, Jangwani, Zanaki au Tambaza High School ajichagulie mrembo aanze kumlea kwa ajili ya maisha mapya..... Na wewe akuwashie taa za emergence tayari kwa kuanza safari nyingine ya kuwa na hao unaocheza nao
Hivi kama mume wako anakupenda na kukujali kwa kila kitu kisha huko nyuma hukuwa mwaminifu na ukakubali na akakusamehe. ukarudia tena mara 2 au tatu na akakuonya na kukusamehe. Je akikukukuta tena una mahusiano nje ya ndoa akufanye nini?
Mbarikiwe sana.
Nimesahau kuanza na Salamu, ila nina Imani nyote hamjambo. Karibuni kikombe cha chai hapa. Haya tunaomba msaada wa mawazo wapendwa.Kama wewe hapo swala kama hili ungefanya je AK-47?
Ok huwezi kumsamehe, sasa ungefanya je? Unampa Talaka, Unamfukuza kama Mbwa, unamrudisha kwao au unafanya je?
mara tatu nadhani huyo mwanaume ana mapungufu katika kufanya maamuzi mazito
Aliyeomba ushauri ni kaka Bobby, na anaumia kweli kweli, kwa jinsi anavyomjali mke wake lakini haridhiki.
Hapo kwenye Red usiogope sana bwana, wakati mwingine hizi tabia ni za mtu mmoja tu. Wengine kwenye ukoo wanaweza kuwa salama.
Babu DC, mwenzio anampenda mke wake, lakini ndo hivyo huyo bibie anashindwa kuacha hiyo tabia.
Kwani babu unadhani usingeweza kusamehe mara zote hizo?
Mwambie huyo mwanamke aondoke maana mara ya nne nadhani atachinjwa...japo kuwa nachelea kusema kwamba huyo mwanaume ni sawa na raisi mmoja anayeoatikana katika East Afrika ambaye hawezi kufanya maamuzi magumu,
I thought ni dada ndo aliomba ushauri....
Unajua kufumwa ni dalili za kurudia kosa mara nyingi...anazini mara nyingi huyo mke....
Binafsi sipendekezi msamaha...
Huyo jamaa ajitenge kwanza na huyo mke (angalau kwa miezi 6), aweze kutathmini maisha yake....angaalie uwezekano wa maisha bila ya huyo mke....
Kama bado ataona anamhitaji, basi amwite waongee upya....ila kumwacha for good ndo ushauri wangu wa kwanza!
Kama ataona
Dah, umesema kweli, nahisi ingekuwa mimi ningeondoka kabla sijaambiwa ondoka......
Lakini sasa upendo una nguvu ujue, yawezekana kabisa huyu kaka anampenda mke wake,
na uamuzi wa kumfukuza ni mgumu na mzito kwake. Hajui hata aanzie wapi yani.
Au ndo limbwata lol!!
Mara tatu hapana mpenzi LD.
Yaani nikifikie hata hiyo mara moja nakaribia kuzimia. Sasa ikifika mara tatu si sawa na kujiandikia RIP?
Dah AD, hapa mdada naona hana chake.
Enough is Enough!!!