Kuna mtu kaniuliza hili swali jamani, anataka msaada wa Mawazo yenu. Maji yamemfika shingon

Haya Mtakatifu nimekuelewa na kukupata.
Kwa hiyo ampe likizo sio. Asimfukuze kama Mbwa eeh!!
Wala asimpe Talaka kwanza?

Wakiachana kwa muda itasaidia kuona yale ambayo walikua hawayaoni (wote mke/mme)...
Kufukuzana kama mbwa hakumsaidii yeyote.....
 

Asiye mwaminifu katika mahusiano haitaji msamaha!

Unaposamehe mara ya kwanza dhambi kama hiyo itakuwa lazima una matatizo ya akili!
 

Nimekupata kabisa, nitampelekea huu ujumbe fasta!!!
Isije kuwa yy ndo chanzo cha tatizo bwana.

OK, kwa maana ingine Renegade, sio rahisi mwanaume akusamehe pale anapokufumania sio?
 
Wakiachana kwa muda itasaidia kuona yale ambayo walikua hawayaoni (wote mke/mme)...
Kufukuzana kama mbwa hakumsaidii yeyote.....

RR umesomea nini Njia za "Divorce" maana kuna thread moja niliona ulitoa mbinu nzuri sana inaonyesha wewe mtaaalamu sana itabidi nikutafute
 
Yani ukishamsamehe zaidi ya mara tatu na kuendelea mwenzio anafanaya makusudi kwa kujua kuwa atsamehewa tuu......so huyo mwanamke ameolewa kwa jamaa kwa lengo la kuwa na heshima kuwa na yeye ameolewa ama alifata kitu kingine kwa ndoa si mapenzi kwa huyo mume ndo yalomfanya aolewe...so anaenda kupigwa nje kwa wale/au yule mtu ambae yeye mke anamfeel kimahaba...that is wat is happening.
So jamaa akubali matokeo amwachie mama aende itamuuma sana bt kwa mda bse alimpenda kiukweli ila binadamu tumeumbwa na kusahau atasahau na life ingine itendelea..
 
Asiye mwaminifu katika mahusiano haitaji msamaha!

Unaposamehe mara ya kwanza dhambi kama hiyo itakuwa lazima una matatizo ya akili!

Duh Kyabu, uwe unasamehe bwana, kama vile wewe unavyosamehewa na wale wanaokukosea.
Au sio?
 
...LD, kwani huyo mdada anapofumaniwa anaomba msamaha gani/hujitetea vipi?
 

Hakuna mwanaume rijali anayeweza kukusamee mara zote hizo, labda awe amelogwa.
 
Unatakiwa kuita marafiki zako woteee mnamla mande halafu unamtimua
 

Kuna uwezakano mkubwa huu ndio ukweli kuhusu huyu mwana mama!!!
Afadhali apewe uhuru tu, aishi yale maisha anayoona ni sahihi kwake.
 

kukupenda na kukujali ndiyo kanuni ya upendo.
upendo huvumilia hata uovu wa hayo yote ok..
na usimnyime mlevi kileo hadi utakapopata uvumbuzi
wa kiu yake...je unajua kiu ya mkeo? kwangu naendelea kusamehe.


mke mwema ni chaguo la Mungu baba tunachokosea sisi tunachagua
wenzi wetu na ndiyo madhara yake hayo..............
 
Aiseeee
Sijawahi kuona hii
Yaani unafumaniwa unasamehewa 1, unafumaniwa unasamehewa 2, unafumaniwa unasamehewa 3, . . . . . up to infinity????
Yaani iwe infinity chain aka infinity series??!!
Halafu then ijengewe hoja kwamba amsamehe tu kwa vile kazoea kufumaniwa??? My hairs!!!!:scared::scared::scared:
Yaani ije siku ihalalishwe ni tabia yake kabisa????!!! Ooh Gooooooosh!:smash::smash:
 
Aendelee kumsamehe kama anataka kufa kwa ngoma siku moja!!!Kama hataki amuache!!!
 
Haya babu yangu, nimekupata kabisa.
Sasa babu, mwanaume akifumaniwa hata mara mia mbili unaweza shauriwa umsamehe tu.
Vipi hapo Babu yangu hakuna kauonevu kweli.

Hapa hakuna cha mume wala mke. Tabia ya kuendekeza upuuzi kama hiyo ndo inasababishia watu matatizo makubwa..maukimwi, BP, kisukari, stroke etc!!! Kama unafanya uchafu wako jitahidi usifumaniwe...Hebu wasiliana na Teamo akupe sheria zao.

Ikitokea ukafumaniwa basi uombe Mungu mwenzio (hapa siongelei jinsia) akupe msamaha ili upate nafasi ya kuikimbia hiyo dhambi kama mtu aliyetoroka kwenye kinywa cha mamba. Binafsi nikifumaniwa mara ya 2 nitamwomba Bibi kwa upendo tu na upole aniache niendelee na uzinzi wangu..Nitakuwa siwezi kubadilika!
 
RR umesomea nini Njia za "Divorce" maana kuna thread moja niliona ulitoa mbinu nzuri sana inaonyesha wewe mtaaalamu sana itabidi nikutafute

Njia za divorce?? Sijui hata moja....mimi nimesomea kufyatua matofali tu...
naongea kwa mtizamo wangu wa kimaisha tu...
 
Aendelee kumsamehe kama anataka kufa kwa ngoma siku moja!!!Kama hataki amuache!!!

Unajua Lizzy, kuna watu wanaamini hawawezi kuishi bila ya wenza wao.....huyu mume ni mmoja wapo...
Sidhani kama ni upendo unaomfanya asamehe zinaa ya mkewe...ana hofu ya kushindwa maisha bila ya uwepo wa huyo mkewe....
 
mara tatu nadhani huyo mwanaume ana mapungufu katika kufanya maamuzi mazito

sio mapungufu, ni kukazia ile ahadi tu,
katika shida na raha na machungu yote!mtabanana pamoja
 
ndo tatizo la wanaume ambao wanapenda kusikilizia utamu. akiwa tendoni ajihisi kama yupo peponi ,anasikilizia sana. ndo mana anaona kama akimuacha hawezi kupata mwingine mtamu. aaaaagh!!!!!!!!!!!!!!!! wanakera sana wanaume type hii,mara tatu zote bado unamsamehe tu.
 
Unajua Lizzy, kuna watu wanaamini hawawezi kuishi bila ya wenza wao.....huyu mume ni mmoja wapo...
Sidhani kama ni upendo unaomfanya asamehe zinaa ya mkewe...ana hofu ya kushindwa maisha bila ya uwepo wa huyo mkewe....


St RR,
Nataraji kuwa hapo bado hujaconclude,
ni mchango wako tu mkuu!!!!!
 
Unatakiwa kuita marafiki zako woteee mnamla mande halafu unamtimua

...kwa mkeo wa ndoa? mama watoto wako? you must be joking brother.
Hebu temea chini yasikukute..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…