Aendelee kumsamehe kama anataka kufa kwa ngoma siku moja!!!Kama hataki amuache!!!
St RR,
Nataraji kuwa hapo bado hujaconclude,
ni mchango wako tu mkuu!!!!!
Hakuna mwanaume rijali anayeweza kukusamee mara zote hizo, labda awe amelogwa.
Unajua Lizzy, kuna watu wanaamini hawawezi kuishi bila ya wenza wao.....huyu mume ni mmoja wapo...
Sidhani kama ni upendo unaomfanya asamehe zinaa ya mkewe...ana hofu ya kushindwa maisha bila ya uwepo wa huyo mkewe....
sio mapungufu, ni kukazia ile ahadi tu,
katika shida na raha na machungu yote!mtabanana pamoja
Unajua Lizzy, kuna watu wanaamini hawawezi kuishi bila ya wenza wao.....huyu mume ni mmoja wapo...
Sidhani kama ni upendo unaomfanya asamehe zinaa ya mkewe...ana hofu ya kushindwa maisha bila ya uwepo wa huyo mkewe....
Hapa hakuna cha mume wala mke. Tabia ya kuendekeza upuuzi kama hiyo ndo inasababishia watu matatizo makubwa..maukimwi, BP, kisukari, stroke etc!!! Kama unafanya uchafu wako jitahidi usifumaniwe...Hebu wasiliana na Teamo akupe sheria zao.
Ikitokea ukafumaniwa basi uombe Mungu mwenzio (hapa siongelei jinsia) akupe msamaha ili upate nafasi ya kuikimbia hiyo dhambi kama mtu aliyetoroka kwenye kinywa cha mamba. Binafsi nikifumaniwa mara ya 2 nitamwomba Bibi kwa upendo tu na upole aniache niendelee na uzinzi wangu..Nitakuwa siwezi kubadilika!
wapo kiongozi wangu,
kwani kwa style hiyo wengine ndo umewafungulia pia mlango wa kusegejua huko nje kwa amani kabisa!!!!!!
BTW naona wameweka kabani ka fesibuku upande wa chini kulia mwa bandiko....:focus:
Asante babu, Babu naomba kuuliza tena.
Kwa maana hiyo babu, watu wafanye uzinzi lakini wasikamatwe sio?
Yani hata kama ni mwanamke afanye lakini asikamatwe.
Na kosa litaanzia hapo kwenye kukamatwa sio?
Ukikamatwa mara Mbili unaomba Talaka ya kiume wewe mwenyewe uendelee na uzinzi.
Usipokamatwa, utaendelea na uzinzi bila kuomba talaka.
Sasa kama maisha ndo hivo babu, kwa nini watu wasjipe tu uhuru wakaacha kuoa au kuolewa,
na kuwaletea wenzao mapresha na makisukari?? Wakaishi wanavyotaka wao??
Alternatively...ana matatizo makubwa mubichwa lake!!
Dhambi ya uzinzi (tena kwa mke.....samahani watu wa TAMWA!) inaweza kusamehewa ila siyo zaidi ya mara moja
...swadakta mstaafu,
Iwapo alishasamehe mara yakwanza, kwanini ashindwe kusamehe tena, mara ya pili, na ya tatu,..?
Kama Mwanaume ana kifua cha kusamehe mapungufu ya awali, aendelea tu na hiyo roho ya 'watakatifu'
Mungu si atamlipia bana?
Mkuu nakubaliana na wewe ila kwa sababu wote tuna mapungufu...basi unaweza kudhani kwamba siku hiyo amepotea maboya akaingia choo cha akina kaka ndo maana kafumwa. Na pia inategemea na nafsi yako mwenyewe. Kama mimi sijawahi kucheza rafu nje ya ndoa basi nitatoa red card ya moja kwa moja.
Ila kama nimewahi kupiga misele na kutoka salama...wallah nitamsamehe hiyo mara moja...Ikitokea mara ya 2 itabidi tugawane kihampa kila mtu akaishi kivyake vyake...Huyo ndiye mimi!

Binafsi naamini sitasamehe (sina uzoefu nalo bado)....
Ila katika mazingira fulani inawezekana ukajikuta unatoa msamaha wa lazima....:embarassed2::embarassed2:
Unajua Lizzy, kuna watu wanaamini hawawezi kuishi bila ya wenza wao.....huyu mume ni mmoja wapo...
Sidhani kama ni upendo unaomfanya asamehe zinaa ya mkewe...ana hofu ya kushindwa maisha bila ya uwepo wa huyo mkewe....
Huoni kuwa kila mwanajamvi anaposema kuwa ni ngumu sana kufanya hivyo kwa mwanaume rijali, wewe umekazania kuwa labda ni mapenzi mazito na blah blah yingine. Huyo jamaa yako sio bure labda sio mzima au ashapigwa ufundi wa Bwagamoyo. Kwangu mimi ile mara ya kwanza tu ni kadi nyekundu straight.Inaweza kuwa mimi au isiwe mimi pia, lakini hebu tuambie kidogo kuhusu hiyo?
Sijajua natete je pia?
Karibu uniambie zaidi jinsi ya kumsaidia huyu kaka.