Da Womanizer
JF-Expert Member
- May 24, 2010
- 1,577
- 150
Mimi siwezi kumsemea mtu mwingine. Kwa kifupi kama mke wangu akinifumania na akaamua kuniacha kwa mara ya kwanza mimi nitamuelewa vizuri tu, na pia akiamua kunisamehe ni poa tu maana ni uamuzi wake. Ila mimi kwangu, mara moja tu ni kadi nyekundu hakuna discussion.Kwani wewe huwa husamehi hata mara moja?
Hebu chukua nafasi ya huyo mwanamke wewe, ungependa ufanyiwe vipi, kwa kosa la kwanza??
huyo rais haruhusiwi kugombea mihula mitatu ,ije kuwa kuibiwa waifu wako mara tatu? khaaa! huyo jamaa inaonesha unaweza ukamwambia "niitie mkeo" na "akamuita" . nashangaa huyo mke ana dental formula yake kamili na anapeta mpaka mida hii.
Ona Klorokwini, unajua jamaa kinamuuma ukweli. Hajui hata aanzie wapi kumuacha yani.
Hebu mpe njia, ndo hivyo hajui, hata kama alitakiwa kujua, lakini hajui pa kuanzia.
Hebu soma haya maneno yake.
Nampenda na Kumjali sana mke wangu kuliko maelezo. Kila anchohitaji anapewa na ziada. Movement zangu zote anazielewa na kila nifanyalo. Ni Mwanaume mwenye Staha na hadhi kwa jamii na Kanisa
Mimi siwezi kumsemea mtu mwingine. Kwa kifupi kama mke wangu akinifumania na akaamua kuniacha kwa mara ya kwanza mimi nitamuelewa vizuri tu, na pia akiamua kunisamehe ni poa tu maana ni uamuzi wake. Ila mimi kwangu, mara moja tu ni kadi nyekundu hakuna discussion.
Tatizo ni kwamba huyo mwanamke hamjali yeye!!!Mwambie mwanaume aamke....anabembeleza huyo mwanamke kwani ameambiwa wameisha???
LD kipenzi mahabuba habibi chokolet, kuachana bila sababu ndio ngumu ila huyu mwanaume tayari ana zaidi ya sababu ya kuachana na waifu wake.Ona Klorokwini, unajua jamaa kinamuuma ukweli. Hajui hata aanzie wapi kumuacha yani.
Hebu mpe njia, ndo hivyo hajui, hata kama alitakiwa kujua, lakini hajui pa kuanzia.
Hebu soma haya maneno yake.
Nampenda na Kumjali sana mke wangu kuliko maelezo. Kila anchohitaji anapewa na ziada. Movement zangu zote anazielewa na kila nifanyalo. Ni Mwanaume mwenye Staha na hadhi kwa jamii na Kanisa
Nimekupata kabisa, nitampelekea huu ujumbe fasta!!!
Isije kuwa yy ndo chanzo cha tatizo bwana.
OK, kwa maana ingine Renegade, sio rahisi mwanaume akusamehe pale anapokufumania sio?
Naona hapo ndipo anapotakiwa kupata ukombozi huyu jamaa!!!
Ifike mahali ajiamini tu, inauma lakini, kwa kweli kwa mwanamke ni too much aisee.
huyo jamaa inaonesha hata akiprintiwa atasema JF wasimuingilie katika maamuzi yake. huyu anaapply kwenye ile sredi yako ya ving'ang'anizi. Tuongezeni maombi jamaa astukeEmbu mprintie hili lithread lote umkabidhi!!!!
Kwani sisi tumemfanyaje hapa??
Una uhakika hakuna mwanaume anayeweza kusamehe zaidi ya mara tatu????
Tatizo ni kwamba huyo mwanamke hamjali yeye!!!Mwambie mwanaume aamke....anabembeleza huyo mwanamke kwani ameambiwa wameisha???
Nampenda na Kumjali sana mke wangu kuliko maelezo. Kila anchohitaji anapewa na ziada. Movement zangu zote anazielewa na kila nifanyalo. Ni Mwanaume mwenye Staha na hadhi kwa jamii na Kanisa
[/B][/COLOR]
Kama mnawatoto wanao hitaji malezi ya baba na mama, dawa kubwa ya kufanya ni kukaa KIMYA baada ya kumuona amerudia kosa kwa mara ya tatu, kukaa kimya sio kumnunia, kukaa kimya unapofanyiwa jambo ambalo sio la kiungwana ni silaha kubwa ya maangamizi maana huenda kupiga ndani ya nafsi ya mtenda kosa. Hivyo kama ana akili timamu atajirudi mwenyeweHivi kama mume wako anakupenda na kukujali kwa kila kitu kisha huko nyuma hukuwa mwaminifu na ukakubali na akakusamehe. ukarudia tena mara 2 au tatu na akakuonya na kukusamehe. Je akikukukuta tena una mahusiano nje ya ndoa akufanye nini?
Mbarikiwe sana.
Nimesahau kuanza na Salamu, ila nina Imani nyote hamjambo. Karibuni kikombe cha chai hapa. Haya tunaomba msaada wa mawazo wapendwa.
Mbona unashikilia sana kulogwa, nafikiri siku ukiwa umekosa mumeo akakusamehe you will go back and start saying amelogwaHujatimia na hauko mkamilifu kwani uwanja wa mazoezi huo uchezewe na kila mtu na wewe unasamehe tu umelogwa wewe
Mkuu kama kweli unajua bibilia, je, do you know the sin of committing adultery in the bible? Proverbs 5;3-9 and 5:32 pia Hebrews 13:4
Huyo mkeo most probably analo pepo la ngono. you have to do something, stop pretending, you may be killing yourself slowly. Utakuta kwamba kila ukimuona mkeo na mwanaume you end up thinking tofauti thus mapigo ya moyo hubailika with immediate effect nae kwa uwoga mkeo (hopefully) atakutambulisha kwa huyo workmate wake ila kutokana na hali ya uwoga still utakua na wasiwasi. Man hapo mimi naona unakufa pole pole. Maombi ndio jibu.
Mbona unashikilia sana kulogwa, nafikiri siku ukiwa umekosa mumeo akakusamehe you will go back and start saying amelogwa
Kama mnawatoto wanao hitaji malezi ya baba na mama, dawa kubwa ya kufanya ni kukaa KIMYA baada ya kumuona amerudia kosa kwa mara ya tatu, kukaa kimya sio kumnunia, kukaa kimya unapofanyiwa jambo ambalo sio la kiungwana ni silaha kubwa ya maangamizi maana huenda kupiga ndani ya nafsi ya mtenda kosa. Hivyo kama ana akili timamu atajirudi mwenyewe