Kuna mtu kaniuliza hili swali jamani, anataka msaada wa Mawazo yenu. Maji yamemfika shingon

Kuna mtu kaniuliza hili swali jamani, anataka msaada wa Mawazo yenu. Maji yamemfika shingon

Hamna BAN hapa wala babu yake na ban, unamwadhibu mwanamke ili iweje kwamba ukimuadhibu ndio ataacha??? Lazima ujiulize kwanza sababu za huyo mwanaume kumsamehe huyo mwanamke mara tatu.

Hakuna sababu zaidi ya huruma za kijinga
 
So unamshauri aendelee/aombe/amuombee mke wake tu?
Asimuache kwa sasa? Maana ana mpango wa kumuacha ila hajui aanzie wapi, kuiambia jamii yake anamuacha mke wake,
kisa kamfumania, anamuonea huruma mkewe huyo, manake ni aibu kubwa ujue. Unarudishwa kwenu na na ushahidi mzito wa kufumaniwa,
Dah, kipenzi cha moyo wake, mama wa watoto wake, mtu aliye/anayempenda kwa dhati.
Inauma Aisee!!!

...mnh, Ok...kumbe tayari ana mpango wa kumuacha ila hajui aanzie wapi?
Aanzie hapo hapo bana. Talaka, kisha ampe haki yake vile walivyochuma pamoja.

Nnayo maswali mengi nataka kumuuliza huyo jamaa yako.

  • Huyo jamaa yako anamtosheleza mdada kwa namna zote ukiacha mahitaji ya chakula, nguo, etc.
  • Mdada aliwahi kumfumania jamaa hata mara moja?

...thubutu! unadhani kuna mwanaume atajitia kitanzi kujibu
haya wakati yeye ndiye anashikilia makali ya kisu?
 
Hivi kama mume wako anakupenda na kukujali kwa kila kitu kisha huko nyuma hukuwa mwaminifu na ukakubali na akakusamehe. ukarudia tena mara 2 au tatu na akakuonya na kukusamehe. Je akikukukuta tena una mahusiano nje ya ndoa akufanye nini?

Mbarikiwe sana.
Nimesahau kuanza na Salamu, ila nina Imani nyote hamjambo. Karibuni kikombe cha chai hapa. Haya tunaomba msaada wa mawazo wapendwa.

Akuwache uendelee tu, kwani hiyo ina maanisha hakutoshelezi. Kama anakutosheleza huwezi kuwashwashwa.
 
aivunje ndoa ya kisheria kisha wajiulize kama bado anamuhitaji wabaki na ndoa ya moyo pekee.

glory to God
 
...mnh, Ok...kumbe tayari ana mpango wa kumuacha ila hajui aanzie wapi?
Aanzie hapo hapo bana. Talaka, kisha ampe haki yake vile walivyochuma pamoja.

...thubutu! unadhani kuna mwanaume atajitia kitanzi kujibu
haya wakati yeye ndiye anashikilia makali ya kisu?

Hicho ndio kiini cha tatizo.Ajisahihishe kama nampenda mdada. Ukute mwanaume mwenyewe anapiga kazi za nje akirudi home kachoka anashindwa kutoa huduma.Iliwahi kumtokea jamaa yangu mmoja.Yeye ana pesa na humpa mkewe kila kitu anachotaka.Lakini jamaa ni mwingi mno wa habari.Hawezi kuridhisha homeground.Matokeo yake mke akachoka akaamua kupata huduma za extension.Sasa jamaa analalamika nini ikiwa anacheza chini ya kiwango?
 
Hakuna sababu zaidi ya huruma za kijinga

...ili ndoa zidumu, zinahitajika pia huruma ya "kijinga"
It's all about reasoning power kwa wanandoa.
Ndoa sio mchezo wajameni!
 
...ili ndoa zidumu, zinahitajika pia huruma ya "kijinga"
It's all about reasoning power kwa wanandoa.
Ndoa sio mchezo wajameni!

Mbu, wewe kwa mtazamo wako ni hadi ifikie mara ngapi kwa huyo bwana kuchitiwa ndo aamue kutalikiana na mkewe? Au wewe unaona ikija kwenye shauri la ndoa huruma haina kikomo?
 
...ili ndoa zidumu, zinahitajika pia huruma ya "kijinga"
It's all about reasoning power kwa wanandoa.
Ndoa sio mchezo wajameni!

michango ya walio ndani ya ndoa na wasiokuwepo,
utaijua tu,
BTW:tupo pamoja, naendelea kufuatilia mjadala,
nikiwa huku loliondo!
 
...mnh, Lizzy slow down. Ushauri huu unaendana na umri wa watu.
Kuna umri wanaisha bana. Umri ulio "alasiri kuelekea magharibi" inakuwa shughuli kuanza kupenda tena.

Kumbuka, kupenda kunahusisha kujenga msingi, kuta, paa na kwenye; ...urafiki > uaminifu > mazoea >
mapenzi > kushirikiana > kuheshimiana > kufahamiana > nk... na yote haya yanahitaji muda.

Ndugu yangu Mbu,

Una maana ukianzisha biashara (na hiyo ndo kazi yako unayoijua) ikafilisika unajiua? Why not start again?
 
..ah haaha!
mara ngapi ushasikia wanandoa wanalalamikiana; "siku hizi simuelewi elewi kabisa mwenzangu, amebadilika!"
mara ngapi ushasikia watu wanasema, "akishaingia kwenye ndoa ndio utaona moto wake!"

Haya ndio yanayotokea ndani ya ndoa. Chaka hilo, huwezi jua miba yake mpaka uupande mchongoma!
BTW, nilimuomba LD atuambie huyo Bi Mkubwa huombaje msamaha.

Kuna wale wanawake wanapoomba msamaha hupiga magoti wakilia mpaka huruma inakujia,
wapo wenye kujiapiza kamwe hawatarudia tena, na huapa bora wajiue kuliko kuishi bila waliyemkosea.
Huruma mama, huruma.

Mbu nahisi, nilikujibu, sehemu fulani hapo juu.
Ila kwa huyu naona style zote mbili anazo.
 
Mbu, wewe kwa mtazamo wako ni hadi ifikie mara ngapi kwa huyo bwana kuchitiwa ndo aamue kutalikiana na mkewe? Au wewe unaona ikija kwenye shauri la ndoa huruma haina kikomo?

Via Mobile, nani alikwambia kwamba,
solution ya matatizo ya ndoa ni kuikimbia, au
kuachana?
je,huko utakapopata mwenza mwingine itakuwa ni peponi,
kiasi ambacho hakutakuwa na magomvi tena?
 
Kama mnawatoto wanao hitaji malezi ya baba na mama, dawa kubwa ya kufanya ni kukaa KIMYA baada ya kumuona amerudia kosa kwa mara ya tatu, kukaa kimya sio kumnunia, kukaa kimya unapofanyiwa jambo ambalo sio la kiungwana ni silaha kubwa ya maangamizi maana huenda kupiga ndani ya nafsi ya mtenda kosa. Hivyo kama ana akili timamu atajirudi mwenyewe

Yeahhh ikibidi amkaribishe hata huyo mwanaume mwenza waishi nae kabisa!!!:smash:
 
Mnataka kwenda wapi aisee!!
Hebu tulieni bwana.
Tunataka njia ya kumwadhibu mwanamke asiye kuwa mtiifu/mwaminifu kwa mume wake,
sio kuwatafutia Desdii na TF BAN bwana wangu!!!

Safi sana LD, naona leo umekaa kikazi zaidi...Lazima order in the house iwepo!!
 
Hicho ndio kiini cha tatizo.Ajisahihishe kama nampenda mdada. Ukute mwanaume mwenyewe anapiga kazi za nje akirudi home kachoka anashindwa kutoa huduma.Iliwahi kumtokea jamaa yangu mmoja.Yeye ana pesa na humpa mkewe kila kitu anachotaka.Lakini jamaa ni mwingi mno wa habari.Hawezi kuridhisha homeground.Matokeo yake mke akachoka akaamua kupata huduma za extension.Sasa jamaa analalamika nini ikiwa anacheza chini ya kiwango?

Nashukuru kwa bahati nimepata majibu ya yale maswali dada angu. Haya hapa>

* Alimuoa huyo mwanamke baada ya kufahamiana na ye muda gani? Mwaka 1

* Huyo mwanamama na huyo mkaka wanapishana sana kiumri? Miaka 22
* Huyo jamaa yako anamtosheleza mdada kwa namna zote ukiacha mahitaji ya chakula, nguo, etc. Anamtosheleza vibaya sana hadi binti anachanganyikiwa na kupagawa
* Mdada aliwahi kumfumania jamaa hata mara moja?
Hapana.
 
Via Mobile, nani alikwambia kwamba,
solution ya matatizo ya ndoa ni kuikimbia, au
kuachana?
je,huko utakapopata mwenza mwingine itakuwa ni peponi,
kiasi ambacho hakutakuwa na magomvi tena?

Kwa hiyo solution ya ndoa iliyoghubikwa na uzinzi na uasherati usio na mwisho ni nini?
 
Akuwache uendelee tu, kwani hiyo ina maanisha hakutoshelezi. Kama anakutosheleza huwezi kuwashwashwa.

...another wrong definition kwa wana ndoa.
Ni muhimu kwa wanandoa wawe responsible kwa maamuzi yao.
"hanitoshelezi!" maana yake nini?

Asiyetosheka ni yule mlafi, fisadi wa tamaa zake.
Si haki kumlaumu mtu mwingine sababu ya tamaa za mwili wako.
"Conquer your Demons, thoughts become things!"
 
ngoma ya chumba aijua mlalaji ni ngumu kusema kama upo nje ya uwanja

...ili ndoa zidumu, zinahitajika pia huruma ya "kijinga"
It's all about reasoning power kwa wanandoa.
Ndoa sio mchezo wajameni!
 
..ah haaha!
mara ngapi ushasikia wanandoa wanalalamikiana; "siku hizi simuelewi elewi kabisa mwenzangu, amebadilika!"
mara ngapi ushasikia watu wanasema, "akishaingia kwenye ndoa ndio utaona moto wake!"

Haya ndio yanayotokea ndani ya ndoa. Chaka hilo, huwezi jua miba yake mpaka uupande mchongoma!
BTW, nilimuomba LD atuambie huyo Bi Mkubwa huombaje msamaha.

Kuna wale wanawake wanapoomba msamaha hupiga magoti wakilia mpaka huruma inakujia,
wapo wenye kujiapiza kamwe hawatarudia tena, na huapa bora wajiue kuliko kuishi bila waliyemkosea.
Huruma mama, huruma.

Napata hasira utadhani mimi ndo huyo mwanaume!!!Ila sio kila mtu anaeingia kwenye ndoa nakutana na moto....kuna wenye bahati wanakua wanajua watakachopata tangu mwanzo!!!Alafu hapo usishangae kusikia kwamba huyo mwanamke aliwahi kucheat tangu enzi za uchumba au ugelofrendi!!!
 
Ndugu yangu Mbu,

Una maana ukianzisha biashara (na hiyo ndo kazi yako unayoijua) ikafilisika unajiua? Why not start again?

Hapo sasa.....watu wanajipa adhabu wasizostahili!!!Utavumiliaje kisichovumilika?
 
Back
Top Bottom