huyo jamaa inaonesha hata akiprintiwa atasema JF wasimuingilie katika maamuzi yake. huyu anaapply kwenye ile sredi yako ya ving'ang'anizi. Tuongezeni maombi jamaa astuke
...kwenye red patamu hapo.
"...na aliye msafi awe wa mwanzo kutupa jiwe!"
LD jibu hilo!
...duuu, nimejichokea mie.
ama mstaafu hapa umepigilia msumari kwenye jeneza.
Sina mpango wa kumkosea wala sijawahi kumkosea hata siku moja UMELOGWA WEWE
Sio kivileeeeeeee!!! Kwa upeo wa ufahamu wangu lakini.
Kwa sababu kama walivyosema hapo juu, huwezi kuisemea nafsi ya mtu sana>
Hebu angalieni moja ya majibu aliyokuwa ananipa wakati tunaongea naye.
Nampenda na Kumjali sana mke wangu kuliko maelezo. Kila anchohitaji anapewa na ziada. Movement zangu zote anazielewa na kila nifanyalo. Ni Mwanaume mwenye Staha na hadhi kwa jamii na Kanisa
...mnh, Lizzy slow down. Ushauri huu unaendana na umri wa watu.
Kuna umri wanaisha bana. Umri ulio "alasiri kuelekea magharibi" inakuwa shughuli kuanza kupenda tena.
Kumbuka, kupenda kunahusisha kujenga msingi, kuta, paa na kwenye; ...urafiki > uaminifu > mazoea >
mapenzi > kushirikiana > kuheshimiana > kufahamiana > nk... na yote haya yanahitaji muda.
Huo ndio mpango Lizzy.
Yani hapa nipo kikazi zaidi yani, more than serious.
Maujumbe yote haya atayapata vizuriiiiiii!!!!
Dah, na hiki ndicho kinachouma zaidi Mbu,
Kwa maana ingine kama nyie wote mnacheat inabidi msameheana tu sio?
Kama mnawatoto wanao hitaji malezi ya baba na mama, dawa kubwa ya kufanya ni kukaa KIMYA baada ya kumuona amerudia kosa kwa mara ya tatu, kukaa kimya sio kumnunia, kukaa kimya unapofanyiwa jambo ambalo sio la kiungwana ni silaha kubwa ya maangamizi maana huenda kupiga ndani ya nafsi ya mtenda kosa. Hivyo kama ana akili timamu atajirudi mwenyewe
What's the use...Sina mpango wa kumkosea wala sijawahi kumkosea hata siku moja UMELOGWA WEWE
...mnh, Lizzy slow down. Ushauri huu unaendana na umri wa watu.
Kuna umri wanaisha bana. Umri ulio "alasiri kuelekea magharibi" inakuwa shughuli kuanza kupenda tena.
Kumbuka, kupenda kunahusisha kujenga msingi, kuta, paa na kwenye; ...urafiki > uaminifu > mazoea >
mapenzi > kushirikiana > kuheshimiana > kufahamiana > nk... na yote haya yanahitaji muda.
Hamna BAN hapa wala babu yake na ban, unamwadhibu mwanamke ili iweje kwamba ukimuadhibu ndio ataacha??? Lazima ujiulize kwanza sababu za huyo mwanaume kumsamehe huyo mwanamke mara tatu.Mnataka kwenda wapi aisee!!
Hebu tulieni bwana.
Tunataka njia ya kumwadhibu mwanamke asiye kuwa mtiifu/mwaminifu kwa mume wake,
sio kuwatafutia Desdii na TF BAN bwana wangu!!!
sio kivileeeeeeee!!! Kwa upeo wa ufahamu wangu lakini.
Kwa sababu kama walivyosema hapo juu, huwezi kuisemea nafsi ya mtu sana>
hebu angalieni moja ya majibu aliyokuwa ananipa wakati tunaongea naye.
nampenda na kumjali sana mke wangu kuliko maelezo. Kila anchohitaji anapewa na ziada. Movement zangu zote anazielewa na kila nifanyalo. Ni mwanaume mwenye staha na hadhi kwa jamii na kanisa
So unamshauri aendelee/aombe/amuombee mke wake tu?
Asimuache kwa sasa? Maana ana mpango wa kumuacha ila hajui aanzie wapi, kuiambia jamii yake anamuacha mke wake,
kisa kamfumania, anamuonea huruma mkewe huyo, manake ni aibu kubwa ujue. Unarudishwa kwenu na na ushahidi mzito wa kufumaniwa,
Dah, kipenzi cha moyo wake, mama wa watoto wake, mtu aliye/anayempenda kwa dhati.
Inauma Aisee!!!
Nnayo maswali mengi nataka kumuuliza huyo jamaa yako.
- Alimuoa huyo mwanamke baada ya kufahamiana na ye muda gani?
- Huyo mwanamama na huyo mkaka wanapishana sana kiumri?
- Huyo jamaa yako anamtosheleza mdada kwa namna zote ukiacha mahitaji ya chakula, nguo, etc.
- Mdada aliwahi kumfumania jamaa hata mara moja?
Mhhh kwahiyo hapo ni swala la mazoea zaidi!!Maana kwenye hii kesi hamna heshima wala kushirikiana...unless wameamua ashirikiane na watu wengine kumridhisha mke wake....kufahamiana hapo hamna maana huyo mwanaume anaonyesha fika hajui mke wake ni mtu wa aina gani ndo maana sasa hivi anauliza chakufanya!!!Shauri lake.....MAZOEA YAKIMPELEKA KABURINI KWA PRESHA AU NGOMA NDO ATAJUA mazoea mengine sio ya kuendekeza!!
Kama huyo mwanamke keshabambwa mara tatu basi hiyo ni ishara tosha kuwa keshachiti mara kibao.
Na kwa maoni yangu hakuna mwanaume wa ukweli, mwenye ego ya kiume atakayesamehe hata kuchitiwa mara moja achilia mbali mara tatu au zaidi!
Uamuzi wa mwisho ni wa huyo mume mtu. Lakini unapomsamehe mwenza muasherati mara zote hizo basi hata yeye huyo mwenza anaweza kukudharau sana.
Mnataka kwenda wapi aisee!!
Hebu tulieni bwana.
Tunataka njia ya kumwadhibu mwanamke asiye kuwa mtiifu/mwaminifu kwa mume wake,
sio kuwatafutia Desdii na TF BAN bwana wangu!!!