Hakuna aliyejibu hoja za Gwajima hata mmoja. Mungu ni mwema sana, Gwajima ametufanya tujue hata ID za WAPUMBAVU na watu wenye IQ ndogo sana, kuanzia Jamii Forums hadi mitaani. Mtu mwenye uelewa hujibu hoja kwa hoja, Tabulalasa hukimbilia udini na sababu binafsi zisizoeleweka.