Kuna mtu mmoja wa sura ya kihindi amepita anatabiria watu maisha yao

Kuweni makini na mambo ya watabili.

Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️

Katika maisha yako usipende kutabiliwa maisha yako na mtu yeyote yule, hata kama awe ni mwongo. Au hata kama awe ni mtabiri fake.

Utabiri ni KIAPO utabiri ni LAANA, utabiri ni BATRI.

Mtu anapokufanyia utabiri kiroho (HAMAANISHI KUWA ANAJUA MAISHA YAKO YA BAADAE HAPANA )
Mtabiri anakufanyia ubatizo na kukuombea ukakutane na yale anayotaka (na yake anayoyatabiri.

Ukimsikiliza mtabiri na kumuamini mtabiri anabadilika kiroho. Anakuwa kama dereva au team coach. Maisha yako lazima yabadilike na kuingia katika mfumo wa mtabiri mara tu baada ya kupokea utabiri.
Mtabiri ni kama anapangalia upya maisha yako na kuwa kwenye mfumo mpya wa mtabiri.
 
Asante sana kwa ushauri mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…