Shadow7
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 24,606
- 39,289
Naunga mkonoAENDE MLIMANI CITY AKAMTABILIE YERICO NYERERE
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkonoAENDE MLIMANI CITY AKAMTABILIE YERICO NYERERE
Asante sana kwa ushauri mzuriKuweni makini na mambo ya watabili.
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Katika maisha yako usipende kutabiliwa maisha yako na mtu yeyote yule, hata kama awe ni mwongo. Au hata kama awe ni mtabiri fake.
Utabiri ni KIAPO utabiri ni LAANA, utabiri ni BATRI.
Mtu anapokufanyia utabiri kiroho (HAMAANISHI KUWA ANAJUA MAISHA YAKO YA BAADAE HAPANA )
Mtabiri anakufanyia ubatizo na kukuombea ukakutane na yale anayotaka.
Ukimsikiliza mtabiri na kumuamini mtabiri anabadilika kiroho. Anakuwa kama dereva au team coach. Maisha yako lazima yabadilike na kuingia katika mfumo wa mtabiri mara tu baada ya kupokea utabiri.
Mtabiri ni kama anapangalia maisha yako na kuwa kwenye mfumo wake.
Nitakuja na uzi wa vitu vya kuviepuka ili kufunga feature yako. Usiruhusu mjinga mjinga kuvunja na kuiingilia mifumo yako kirahisiAsante sana kwa ushauri mzuri
Amina sana bossNitakuja na uzi wa vitu vya kuviepuka ili kufunga feature yako. Usiruhusu mjinga mjinga kuvunja na kuiingilia mifumo yako kirahisi
Hiyo kauli mkuu hutumika kuexpress hisia za ndani sana za mapenzi. 🤣😜Na mimi namtaka
Kumbe ningesemaje 😜Namhitaji au?Hiyo kauli mkuu hutumika kuexpress hisia za ndani sana za mapenzi. 🤣😜
Ewaaa! 👍Kumbe ningesemaje 😜Namhitaji au?