Mmmmmh [emoji4]unatakiwa uwende nae fronline usimtangulize kama chambo
Kama moyo wako machine mwaga oil kwanza utapata ujasiliKuna mtu nampenda humu nikiona comment zake moyo unashtuka daah kweli moyo mashine sijui nifanyaje
Yule sïo wangu tenanilitaka nikupe siri za Daby ukakataa
[emoji23] [emoji1] [emoji23] kakuboa ee?!Raha yako umtaje eeh
Wala.. namtishia tu[emoji23] [emoji1] [emoji23] kakuboa ee?!
Nipo mpendwa, ni majukumu tu yanatukaba hadi Easter imepita hata sina habari, haki uzee sio mchezo!!Upo mumy
Kuadimika hivyo ndo nini nimesubiri mwaliko wa pasaka hadi imeisha
Mzima wewe?
Unazo kama hizo kwenye Avatar???? Kama ndiyo nakutongoza hapa.Haijawahi nitokea maishani...natamani mmoja aje nisemesha hata kama ni kwa masihala...siamini kama ipo!!!
Kumbe wanaokufaga kwenye nyumba za wageni ni wazee? Mi nilikuwa sijui Emmy ha ha ha ha.Ila usisahau pia ndio wanaoongoza kufia kwenye nyumba za kulala wageni.
Hahahaaa
Hahahaaa! Ndio hivyo tenaKumbe wanaokufaga kwenye nyumba za wageni ni wazee? Mi nilikuwa sijui Emmy ha ha ha ha.
Pole mumy na siku zote majukumu huwa hayakwepeki.Nipo mpendwa, ni majukumu tu yanatukaba hadi Easter imepita hata sina habari, haki uzee sio mchezo!!
Uko poa lakini?Wala.. namtishia tu
Hata kuna mtu nampenda humu! We acha tu. Nikiona comment zake....... .. Sisemi kinachonitokea!!!?Hahahaaa! Ndio hivyo tena
Mwambie tu mzeewakungoa usije ukafa na tai shingoni bureHata kuna mtu nampenda humu! We acha tu. Nikiona comment zake....... .. Sisemi kinachonitokea!!!?
Hhmm... Naogopa majibu yake.... Asije akaacha hata kulike post zangu.Mwambie tu mzeewakungoa usije ukafa na tai shingoni bure
Sio ndio atazidi kukupa likeHhmm... Naogopa majibu yake.... Asije akaacha hata kulike post zangu.
Hhhmm Sijui!!!Sio ndio atazidi kukupa like
Mtonye!!!Kuna mtu nampenda humu nikiona comment zake moyo unashtuka daah kweli moyo mashine sijui nifanyaje