Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nataka nikabidhiwe nafasi yake ili niruhusu bange, viroba na shisha viwe vinauzwa magengeni Dsm nzima.Sasa anamtaka Bashite wa nini?
Yule mzee naye hata haeleweki.
Nina kazi kubwa sana ya kuliombea taifa. Taifa bila viroba kazi ni ngumu sana kulijengaIla bora umeshuka aisee angalau upumzishe akili kidogo
Nataka nikabidhiwe nafasi yake ili niruhusu bange, viroba na shisha viwe vinauzwa magengeni Dsm nzima.
Lazima watu wainjoi ili walete sadaka kwa wingi madhabahuni kwangu na kwa Mzee wa upako
Hahahaa! Na wezee walivyo na vismati atakuwa ni huyu huyu.
Yule mchuchu ni wa kuombea. Last time alifanya mgomo wa kufuata mpango wa uzazi.... eti alikuwa anatekeleza ilani ya uchaguzi ya chama chao... ya kufyatua watoto.Kwenye viroba nakuunga mkono, ngoja nicheki na Numbisa nione kama tunaweza kukujoin maana swala la viroba na yeye limemwathiri.
Mzee gani huyo nimuombee?Hahahaa! Na wezee walivyo na vismati atakuwa ni huyu huyu.
hajichanganyi mara nyingi anachangia general ila pic kaweka ya kike kiponda watu saanaMaandishi ya kike na ya kiume siyanatofautiana?
Hajichanganyi kweli?
Ila usisahau pia ndio wanaoongoza kufia kwenye nyumba za kulala wageni.Wanasemaga eti wazee hawachoshi, na wanalipa vizuri.
Ngoja nikutumie jina lake kwenye whatsappMzee gani huyo nimuombee?
hivi anapata faida gan
ahaaa staki bifu na watu yeye anajijuaEbu mkuu kuwa mubashara tumjuwe
Hahaaaa!!Aaaah mwenye Bomba hakai foleni, nlikua nimekaa pm nasubiri nione huyo atakaeapply ili niamshe dude.....
Upo mumyHahaaaa!!
Teh teh tehjirani nakuona nakuona [emoji1] [emoji1] [emoji1] unam'bebesha mtu mabomu alafu ww unakimbilia kwenye kichaka kujificha
Aaaah sasa Jirani nitamsaidiajejirani nakuona nakuona [emoji1] [emoji1] [emoji1] unam'bebesha mtu mabomu alafu ww unakimbilia kwenye kichaka kujificha
unatakiwa uwende nae fronline usimtangulize kama chamboAaaah sasa Jirani nitamsaidiaje