Kuna mtu nampenda humu

Kuna mtu nampenda humu

Sasa anamtaka Bashite wa nini?

Yule mzee naye hata haeleweki.
Nataka nikabidhiwe nafasi yake ili niruhusu bange, viroba na shisha viwe vinauzwa magengeni Dsm nzima.

Lazima watu wainjoi ili walete sadaka kwa wingi madhabahuni kwangu na kwa Mzee wa upako
 
Kwenye viroba nakuunga mkono, ngoja nicheki na Numbisa nione kama tunaweza kukujoin maana swala la viroba na yeye limemwathiri.
 
Yule mchuchu ni wa kuombea. Last time alifanya mgomo wa kufuata mpango wa uzazi.... eti alikuwa anatekeleza ilani ya uchaguzi ya chama chao... ya kufyatua watoto.

Nikagundua alikuwa na upungufu wa viroba mwilini (UVIMWI)
 
Siku hizi simnajitongozeshaga...au tukuelekeze PM ilipo
 
Back
Top Bottom