amida yohana
Senior Member
- Mar 19, 2017
- 111
- 63
[emoji35] [emoji35] [emoji35]Kuna mtu nampenda humu nikiona comment zake moyo unashtuka daah kweli moyo mashine sijui nifanyaje
Nani tena huyo?Humu kuna watu ni wanawake ila wametumia majina ya kiume, kuwa makini.
Kuna mtu namjua ni mwanaume haswaaa ila jina anatumia la kike comment zake za kike na watu wanamtambua kama mwanamke sijui aonagi aibu?
Hope kuna watu mnamjua ni yule alokua anatumia id fulani zamani akaja badilisha.
Basi, the storm is over. There I am baby Girl.Kwenye hii thread sijaona comment yake mpaka sasa
ahaaa yupo kati ya watu walojiunga zamani alikuja badili id.Nani tena huyo?
Looh wantia hamu mwenzioahaaa yupo kati ya watu walojiunga zamani alikuja badili id.
Mfuate pm mwambie ukweli huenda hata yeye analo hilo wazi.