Kuna mtu nampenda humu

Kuna mtu nampenda humu

a2fdf713e8b6393f00eea4502753e785.jpg
 
Humu kuna watu ni wanawake ila wametumia majina ya kiume, kuwa makini.

Kuna mtu namjua ni mwanaume haswaaa ila jina anatumia la kike comment zake za kike na watu wanamtambua kama mwanamke sijui aonagi aibu?

Hope kuna watu mnamjua ni yule alokua anatumia id fulani zamani akaja badilisha.
Nani tena huyo?
 
Wanawake wa humu wamenishinda kabisa mwingine unadhani mwanamke siku mkikutana anasema oooh kumbe ndo wewe MWANAKA ok basi sawa nilitaka kukuona tu
Mwingine unatongoza eee kumbe unatongoza dume jenzio
Ooohh
Nitakula kwa picha tu sitongozi ng'oooooo
 
Asee hii kitu ni upofu yani mtu anapenda coment je ukikota n kikongwe ajuza utaendelae? Hahaha
 
Back
Top Bottom