Inataka moyo lakini hiyo. Ila ajivishe tu mabomu amwambie lakini ndio ajiandae kuna kukubaliwa na kukataliwa pia.Mwambie basi kwani waogopa nini
Not my mentor not my mentor ooooohKizuri kula na wenzio.
So the hottest woman on this party is off market??Kabla hujajilipua mentor wangu atakuwa kakulipua "watch it"
Ha ha ha ha usinikumbushe jamaa wa msitumi mzee wa iyena iyena.... Apumzike kwa amaniSo the hottest woman on this party is off market??
Aisee sikubali lazima niingie msituni
Evelyn Salt lazima siku nijilipue nikufate huko huko ngaramtoni
Nakupendaga pia, shahidi ile migomba pale homeManka! Manka! Manka!...amin amin nakuambia dunia na wadunia watapita, ila pendo langu kwako halitapita!
Nshampa taarifa at his own risk
Kuna mtu nampenda humu nikiona comment zake moyo unashtuka daah kweli moyo mashine sijui nifanyaje
Nakupendaga pia, shahidi ile migomba pale home
Dah naona father house ushafika,
Mkuu kumbe washakunyakua aisee, ngoja niwe gentleman nikubali matokeoHa ha ha ha usinikumbushe jamaa wa msitumi mzee wa iyena iyena.... Apumzike kwa amani
wewe mbona hunitongozimtongoze tu akikataa pouwa akikubali sawa tu