Kuna mtu nampenda humu

Kuna mtu nampenda humu

Duuh.. Asubuhi yote hii! Itakuwa usiku uliota ndoto uko pamoja nae sehemu kama vile out au kwichi kwichi. Kama vp jilipue PM hakuna mwanaume katili kiasi cha kumkataa msichana. Atakupa yale maji ya uzima japo kamoja tu.
 
Humu kuna watu ni wanawake ila wametumia majina ya kiume, kuwa makini.

Kuna mtu namjua ni mwanaume haswaaa ila jina anatumia la kike comment zake za kike na watu wanamtambua kama mwanamke sijui aonagi aibu?

Hope kuna watu mnamjua ni yule alokua anatumia id fulani zamani akaja badilisha.
 
Hata yy atakuwa anakupenda vile vile sema tu connection ya upendo wenu bado inasua sua ikija kuconnect vizuri that will be the point where happiness of your heart will rise, so never lose hope u still have a time and chance to do so..
 
Humu kuna watu ni wanawake ila wametumia majina ya kiume, kuwa makini.

Kuna mtu namjua ni mwanaume haswaaa ila jina anatumia la kike comment zake za kike na watu wanamtambua kama mwanamke sijui aonagi aibu?

Hope kuna watu mnamjua ni yule alokua anatumia id fulani zamani akaja badilisha.
Ebu mkuu kuwa mubashara tumjuwe
 
Back
Top Bottom