Hainaga ushemeji
JF-Expert Member
- Aug 22, 2016
- 451
- 777
Hainaga ushemeji siku iziIla yule ana mwenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hainaga ushemeji siku iziIla yule ana mwenyewe
Nipo nakumiss shogaaNipo shoga angu. Habari ya siku tele?
Hainaga ushemeji siku izi
Kwema kabisaaaNipo. Kwema?
Dah ila we mtotoAsijekua tu Mentor wangu
Itakua vurugu hapa
Acha moyo usukume damuKuna mtu nampenda humu nikiona comment zake moyo unashtuka daah kweli moyo mashine sijui nifanyaje
Kuna mtu nampenda humu nikiona comment zake moyo unashtuka daah kweli moyo mashine sijui nifanyaje
Hata nami pia nakumiss. Usijali mwaya shoga yangu tupo pamojaNipo nakumiss shogaa
Kabla hujajilipua mentor wangu atakuwa kakulipua "watch it"Evelyn Salt lazima siku nijilipue nikufate huko huko ngaramtoni
Ebu mkuu kuwa mubashara tumjuweHumu kuna watu ni wanawake ila wametumia majina ya kiume, kuwa makini.
Kuna mtu namjua ni mwanaume haswaaa ila jina anatumia la kike comment zake za kike na watu wanamtambua kama mwanamke sijui aonagi aibu?
Hope kuna watu mnamjua ni yule alokua anatumia id fulani zamani akaja badilisha.
kumbe ...!!,ungenambia tu dearKuna mtu nampenda humu nikiona comment zake moyo unashtuka daah kweli moyo mashine sijui nifanyaje