miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
zile pesa umeshapata?wewe mbona hunitongozi
Hahahahahahaha.......................atapata anacho kihitaji..............Ni pale utakapo kuja kugundua mleta thread ni mwanaume
kuna baadhi ya maneno siwezi kuyasoma andika tenazile pesa umeshapata?
PESA UMEPATA ?kuna baadhi ya maneno siwezi kuyasoma andika tena
mbona hujaandika kituPESA UMEPATA ?
alianzia na mtoto wa mzee kinala.. na dada mmoja alikuwa anauza mihog kule kange ila naskia yule wa kange alishatangulia mbele za haki kwa gonjwa lisilojulikanaBila shaka
Dogo ananyota saaana kuanzia kwa wale watoto wa Mzee Manala hadi Leo.
Hivi unamkumbuka yule muuza ice cream daily tukiwa tunacheza Doso jioni huyu hapa...alianzia na mtoto wa mzee kinala.. na dada mmoja alikuwa anauza mihog kule kange ila naskia yule wa kange alishatangulia mbele za haki kwa gonjwa lisilojulikana