Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Haya ngoja niitafute tivu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya ngoja niitafute tivu
Follow excellence and success will follow you.Ndugu, wengine ni passion tu, twapenda kufuatilia na personally napenda kuandika pia. Hivyo Tunapokuwa tunakutana na mambo huko, huyafuatilia kwenye vyanzo mbalimbali na kutengeneza makala. Passion hutangulia, pesa huja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani mimi na kukurupuka kwangu si nikajua vigongo vimeanza tenaKichwa cha habari kimekaa kifasihi tu. Ya kwamba ndani ya moto huo kuna mtu, yaani kisababishi au muwashaji, ila hakuonekana wala kugundulikana mpaka leo hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah mkuu Ilankunda umenchekesha sana asee. Dah [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yani mimi na kukurupuka kwangu si nikajua vigongo vimeanza tena
Kumbe ni singo muvi
.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaaah man!!Ndugu, wengine ni passion tu, twapenda kufuatilia na personally napenda kuandika pia. Hivyo Tunapokuwa tunakutana na mambo huko, huyafuatilia kwenye vyanzo mbalimbali na kutengeneza makala. Passion hutangulia, pesa huja.
Sent using Jamii Forums mobile app