Robert Heriel Mtibeli
Platinum Member
- Mar 24, 2018
- 40,153
- 93,069
Kwamba Bashite atamuangusha JK? Fuatilia kitakachotokea hadi mwishoni mwa AugustSabato Njema!
Leo nilikunywa kinywaji cha Maono.
Nikaona mwanaume Mmoja, ambaye atagombea mwaka huu Arusha, ingawaje watataka kumuengua lakini atapita.
Huyu mtu atachukua shoka na kukata mbuyu mkubwa uliopembezoni mwa bahari.
Ule Mbuyu uliowashinda wengi ukakatika.
Akakata na matawi yake ambayo yalikuwa na Majani, matunda ya Ubuyu.
Wakati ule Mbuyu ukikatwa, wenyewe utasema, ulipanda juu yetu. Bila sisi usingefika hapo. Lakini Yule mtu mwenye shoka hakubakiwa na huruma hata kidogo, wala masikio yake hayakuwa yakisikia chochote.
Sasa Yale maono nikasema huenda ni mawenge yangu. Lakini nilipoyatafakari nikaona huo uwezekano.
Je shukrani ya Punda ni Mateke? Je itatokea?
Maono hayo yapo chini ya miaka 15 tangu sasa.
Sabato njema!
Kete namba 4,ni lazima iliwe na unabii utimie kwa namna yeyote ileSabato Njema!
Leo nilikunywa kinywaji cha Maono.
Nikaona mwanaume Mmoja, ambaye atagombea mwaka huu Arusha, ingawaje watataka kumuengua lakini atapita.
Huyu mtu atachukua shoka na kukata mbuyu mkubwa uliopembezoni mwa bahari.
Ule Mbuyu uliowashinda wengi ukakatika.
Akakata na matawi yake ambayo yalikuwa na Majani, matunda ya Ubuyu.
Wakati ule Mbuyu ukikatwa, wenyewe utasema, ulipanda juu yetu. Bila sisi usingefika hapo. Lakini Yule mtu mwenye shoka hakubakiwa na huruma hata kidogo, wala masikio yake hayakuwa yakisikia chochote.
Sasa Yale maono nikasema huenda ni mawenge yangu. Lakini nilipoyatafakari nikaona huo uwezekano.
Je shukrani ya Punda ni Mateke? Je itatokea?
Maono hayo yapo chini ya miaka 15 tangu sasa.
Sabato njema!
Nimeshindwa kuelewa 🤔 Bashite kwa Jk kweli?Kwamba Bashite atamuangusha JK? Fuatilia kitakachotokea hadi mwishoni mwa August
Ndivyo anavyodaiNimeshindwa kuelewa 🤔 Bashite kwa Jk kweli?
Leta tabiri yako hata moja iliyotokea nasi tukuite nabii na kukufata
Kwamba Bashite atamuangusha JK? Fuatilia kitakachotokea hadi mwishoni mwa August
Je huyo mtu akifa mwakani..ya Nini kujichosha na yajayo wakati Mungu ndo mwamuzi ..mnasahau kuna kifo?
Sijui kwanini JF wanarihusu upuuzi wa namna hii kukaa humu!!Sabato Njema!
Leo nilikunywa kinywaji cha Maono.
Nikaona mwanaume Mmoja, ambaye atagombea mwaka huu Arusha, ingawaje watataka kumuengua lakini atapita.
Huyu mtu atachukua shoka na kukata mbuyu mkubwa uliopembezoni mwa bahari.
Ule Mbuyu uliowashinda wengi ukakatika.
Akakata na matawi yake ambayo yalikuwa na Majani, matunda ya Ubuyu.
Wakati ule Mbuyu ukikatwa, wenyewe utasema, ulipanda juu yetu. Bila sisi usingefika hapo. Lakini Yule mtu mwenye shoka hakubakiwa na huruma hata kidogo, wala masikio yake hayakuwa yakisikia chochote.
Sasa Yale maono nikasema huenda ni mawenge yangu. Lakini nilipoyatafakari nikaona huo uwezekano.
Je shukrani ya Punda ni Mateke? Je itatokea?
Maono hayo yapo chini ya miaka 15 tangu sasa.
Sabato njema!
Sijui kwanini JF wanarihusu upuuzi wa namna hii kukaa humu!!
Dah hayo maono mbona yameenda mbali sana 15yrs ingetakiwa yawe almost 3yrd
Yule ni Pro and loyal SG, Hivyo lazima atageuka tuu hata apewe mema mengi....