Kuna mtu ni mgombea wa Arusha, namuona miaka ijayo akikata mbuyu mkubwa na matawi yake

Mimi pia before election niliota ndoto ambayo ni wife tu nilimsimulia kuhusu "kijana". Mimi huwa si muota ndoto hovyo hovyo na nilitaka kuileta hapa lakini nafsi ikagoma. Ni ndoto au sijui ni maono lakini yalikuwa mafupi sana kuonesha tu hatma ya "kijana". Tuendelee kuombea Taifa
 

Mmh! Embu tuelezee hiyo ndoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…