Tunatunza kadi za form one sembuse uzi huu na midevu na manyonyo yenu..Shunie asikusumbue mamy subscribe kauzi kako [emoji23][emoji23]eb mwambie aufute huu uzi aweke mwingine mshakubaliana muonane
ufutwe tuNa siku rasmi ni kesho, Husna najua huko uliko uko busy kufuta uzi, my friend unapoteza muda waambie mods wauondoe
Nimeshangaa kuona mtu katupia namba kati kati ya uzi, haina hata maelezo yaaniAhahaha ya Shunie hiyo...kaituma kwa I'd nyingine
kweli Daby huaminikiDaby anaweza kuja na id kama ya babu, simuamini sana
MmmmhBiblia inasema ukimuangalia mwanamke kwa kumtamani basi umekwisha kuzini nae, we unazini tu na lipsi zangu burebure kweli!!!
[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Atakuwa anamtoroka bibi akiwa usingiziniUtamuona usiku mwingi wee subili tu
hahahhh hamjamuelewa yule bada ya kuona thread imebidi achangamkie fursa kutuma no kumbe wenzie wameshapatanaNimeshangaa kuona mtu katupia namba kati kati ya uzi, haina hata maelezo yaani
Hahaha mshindwe na mlegee sehemu zenukweli Daby huaminiki
Mimi tena sio pacha wako?hahahhh kwahyo nimemtumia kijanja manga chizi kweli ww
Pole sana wa ubani wanguHiyo ni mental case.
Hebu sema ukweeli, ile namba ni ya nani kwelihahahhh kwahyo nimemtumia kijanja manga chizi kweli ww
Hii sasa roho mbaya khaa nini kushupalia hivi lakiniNa siku rasmi ni kesho, Husna najua huko uliko uko busy kufuta uzi, my friend unapoteza muda waambie mods wauondoe
hahahhh futeni uziHahaha mshindwe na mlegee sehemu zenu
Anajua pa kufutia sasaeb mwambie aufute huu uzi aweke mwingine mshakubaliana muonane
sio yangu si ningempa pm no kitu gani si unajua unaweza kumpa mtu no na ata msionane [emoji23]Hebu sema ukweeli, ile namba ni ya nani kweli
Ungeniletea kule ninge amini lakini hapa hapana naijua atyangu hii manga
[emoji57] [emoji57] [emoji57]Kipo waaa! Nimerefusha shingo sikioniii
hahahh awafate mods wafuteAnajua pa kufutia sasa
Hehehehahahhh hamjamuelewa yule bada ya kuona thread imebidi achangamkie fursa kutuma no kumbe wenzie wameshapatana
[emoji15]nitaje tu husna usiogope