Manga ML
JF-Expert Member
- Jul 6, 2013
- 9,805
- 15,529
Ha ha haaa duhNasikia Manga alikuwa mod akawa mmbea akatimuliwa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha haaa duhNasikia Manga alikuwa mod akawa mmbea akatimuliwa
Pole sana hakuna namna ubaki tuNimeuchoka kabisaa
Siku babu akitoka Niite nije nikufundisheHehehe
Nilikuwa nawaza tuu
Mmh kweliNasikia Manga alikuwa mod akawa mmbea akatimuliwa
Ndo ntapotea tena mana sitabakiHamna haja ya story bwanaaa, unachangia mada unaenda kwenu
hahahhhAiseeee, ile staili sio ya nchi hii
hahahhhAsijue kabsaa ubaki salama
hahahhhhHivo mii sitaki bola yaishe
AsantePole sana hakuna namna ubaki tu
nyie watu hurumieni mbavu zangu hahahhhHahaha sijawahi ebu nisimulie
Hahaaa
Mfano ulishawahi ona kitu kinapwaya
Usijali. Uje na HusnaSiku babu akitoka Niite nije nikufundishe
Wee cheka tuhahahhhh
Utaenda wapi shemNdo ntapotea tena mana sitabaki
Unahamaje sasa kwa hali hii?nyie watu hurumieni mbavu zangu hahahhh
sakayo manga kaongea point ujue unakumbuka kuna siku tupo na Babu tulifukuzwa kwenye uzi wa watu hahahhh walianza wapambe mwenye thread akamalizia tukajifanya kama hatuoniSasa Sakayo utauingilia uzi wa nani uanze kupiga story zako na uwapendao kwa kilefu namna hii?
Nimeuchoka kabisaa
et n kweliHa ha haaa duh
hahahhh tutakuja kukutoa pm kwa lazimaNdo ntapotea tena mana sitabaki
Mii najua et ndo ilikua mtindo mimi na my xsakayo manga kaongea point ujue unakumbuka kuna siku tupo na Babu tulifukuzwa kwenye uzi wa watu hahahhh walianza wapambe mwenye thread akamalizia tukajifanya kama hatuoni
Huyu usiku anakuwaga na points sana, kweli ile siku tulikimbizwasakayo manga kaongea point ujue unakumbuka kuna siku tupo na Babu tulifukuzwa kwenye uzi wa watu hahahhh walianza wapambe mwenye thread akamalizia tukajifanya kama hatuoni