Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Hehehehahahhah sakayo ww
Ni jibu bana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hehehehahahhah sakayo ww
Hapana ni jina hilo sio kingineNimekuuliza huonagi aibu lakini???!
Sababu ya kicheko[emoji23][emoji23]
Mmh jibu ganKuna jibu nilepewa hilo sikua na amani kwakweli yani lile lilitoka moyoni mwake
pongezi kwa mama mzaa chema wa babu Asprin.Asante
Natamani mamangu angesikia hizi pongezi, ndo alinifunza moyo wangu usiporidhika na jambo nililofanya, basi ni jishushe niombe msamaha!!!
KhaaaaNavumilia mengi sana honey, mpaka wanaume woote nawaona ka wanawake
maua pelekeeni nyukiHuyo ni ba mdogo, yaani honey wake Shunie
hahahh mm nipo dar bwanaHehehe
Ni jibu bana
HeheheHapana ni jina hilo sio kingine
Mbona na mimi hunitaji au ishashindikana kwa shunieUmeonaeee
Mpaka Husna akulwe, wakulane na waje hapa waseme
Haya kam zis wei beibee... chapchap sana... uje without kabisa. Sawa enh?Usijali love, naomba uniroge
Hehehepingezi kwa mama mzaa chema wa babu Asprin.
Wivu wangu mpaka kwa baba yako...Huyo ni ba mdogo, yaani honey wake Shunie
Nini sasaKhaaaa
Yako wapi kwenye hiyo commentmaua pelekeeni nyuki
Hapana siwezi liludia asee pale ulinikomesha ni hiyo basintu umepitiliza moyoniMmh jibu gan
Hili jina lilikuwa maalumu kwa kazi maalumu lakini nikajikuta naendelea nalo.Hilo jina ni changamoto, nani alikuchagulia hilo ba mdogo
Sasa hapo unaharibu babuWivu wangu mpaka kwa baba yako...
Without sa hizi jamani!!Haya kam zis wei beibee... chapchap sana... uje without kabisa. Sawa enh?
Shunie ni wako, mrejesho ukija nyie ndo nextMbona na mimi hunitaji au ishashindikana kwa shunie