unakimbilia wapi?[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Haka kawingu huko angani unakaona lakini... mvua itamwaga soon hebu wahi bhana...Without sa hizi jamani!!
we mtu ni sheedaNamtania Sakayo.
Utakuja kuniua kwa presha ujue...Honey, natania jamani la azizi wa mie
Kweli ni utani tu, maana naona anajifanya muoga.we mtu ni sheeda
HeheheNamtania Sakayo.
Hilo jina ni hatari kwa afya, bora nikimbie niiponye nafsi yanguunakimbilia wapi?
HeheheHaka kawingu huko angani unakaona lakini... mvua itamwaga soon hebu wahi bhana...
Shida kidogo sasawe mtu ni sheeda
Usife jamani honey, kabla hatujapeana hatiUtakuja kuniua kwa presha ujue...
Sio najifanya, mie muoga kweeeliKweli ni utani tu, maana naona anajifanya muoga.
[emoji58][emoji58]hahahh mm nipo dar bwana
Usijali. Hati ya ndoa nimeshaisaini, uje uichukueUsife jamani honey, kabla hatujapeana hati
hahahahhhUsife jamani honey, kabla hatujapeana hati
vipiii[emoji58][emoji58]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Usijali. Hati ya ndoa nimeshaisaini, uje uichukue
Ya ndoa tenaUsijali. Hati ya ndoa nimeshaisaini, uje uichukue
Kakula au kaliwa, hebu tupe jibu Dabyvipiii
Poavipiii
mbavu zangu jamaanYa ndoa tena