Akushikie funguounataka nn
funguo ndio nnAkushikie funguo
Kwa uchochezi sikuwezi.Mie nampendaga tu Idris Elba jamaniManga kazi kwako ushindwe tena
NaonaKaribu sijui ni mfanoe
hahahhh atakua anafanana nae tuKwa uchochezi sikuwezi.Mie nampendaga tu Idris Elba jamani
Hajasema id kasema pichafursa hiyo
Umeanza maswali si ulisema atakua mshika funguo wewe?funguo ndio nn
hahahhh nilijua vyoteHajasema id kasema picha
nan huyo na usivyopenda maswali na sakayo ameshalalaUmeanza maswali si ulisema atakua mshika funguo wewe?
Ha ha haa ila nlitaka kufanana nae huyo kamchochea Daby asa ivi yupo na husnaKwa uchochezi sikuwezi.Mie nampendaga tu Idris Elba jamani
Hata akinitaja nitamwambia samahani amechelewaHebu toka kwenye hii thread asije akakutaja nikaishia ICU
Jisikie hulu kwenye uzi huu Honey FaithNaona
Nshakuganda sibanduki tukutane wapi unapo penda?na ww jilie vyako
Ngoja aje tumsikie tenahahahhh nilijua vyote
Umejisahau eeh?nan huyo na usivyopenda maswali na sakayo ameshalala