Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Kama uko tayari dhambi hii ituhusu, ntakuja na nusu sadaka. Ili kama tukifa tuende sote motoni.Mie mbona nsharudi mapema tuu babu love!!
Umekuja na sadaka kidogo au
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama uko tayari dhambi hii ituhusu, ntakuja na nusu sadaka. Ili kama tukifa tuende sote motoni.Mie mbona nsharudi mapema tuu babu love!!
Umekuja na sadaka kidogo au
Kifaa ni kongwe hicho ukigusa huta amini watakao jitokeza tena na silaha kabsaaWewe, acha kutuzingua. Chukua kifaa hicho
Alianza maswali yake ulipotoka tuWe hujui funguo za gari au
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe huyooo
Kujilengesha kua juu sivyo iwe kawaida ili akiingia akakuta upo juu aoze kabsaaNdo Manga sasa, hivi ulikuwa hujui eeeh
Unapenda dyudyu eeh?Mie saa tatu nshajifungia
Akija pacha mwambie tutoke leo tukaangalie dunia ya usiku.Warereeee
Huyo sio yoyote, acha mbwembweHa ha haaa unazani mimi nahitaji yeyote?
Hivi wewe huruhusiwi kula madhabahuni mwa Bwana, we ni mmoja wa watumishiKama uko tayari dhambi hii ituhusu, ntakuja na nusu sadaka. Ili kama tukifa tuende sote motoni.
We umejuaje, hebu nipe id yako ya zamani MangaKifaa ni kongwe hicho ukigusa huta amini watakao jitokeza tena na silaha kabsaa
Acha mambo yako wewe, wanawake wanapenda kudanganywaKujilengesha kua juu sivyo iwe kawaida ili akiingia akakuta upo juu aoze kabsaa
UsijaliAkija pacha mwambie tutoke leo tukaangalie dunia ya usiku.
Basi sawa, mchungaji lazima ale kondoo wake, hasa yule aliyenona.Hivi wewe huruhusiwi kula madhabahuni mwa Bwana, we ni mmoja wa watumishi
HapanaUnapenda dyudyu eeh?
Mie nimesema sadaka, sio kondoo!!!Basi sawa, mchungaji lazima ale kondoo wake, hasa yule aliyenona.
Wakati huo mi ntakuwa wapi??Hapana
Huwa naogopa kukaa mwenyewe usiku
Wala sijui unakuwa wapi.Wakati huo mi ntakuwa wapi??
Hahahahaha nimecheka kwa sauti mpaka paroko kanishangaa...Kuna muda napata wasi wasi!!!
Ko umeamua kumvizia mla Pweza???!