mm mlokole tukutane kanisaniNshakuganda sibanduki tukutane wapi unapo penda?
acha nilale keshoUmejisahau eeh?
Mbona mapema leoacha nilale kesho
Sawa hemfungua kidogomm mlokole tukutane kanisani
Hayaaa... Umevujisha siri mubashara, nakumbuka sana basi tu ila mimi nawe tumetoka mbali.ni fakalava ndio sijui kama anakumbuka
Mbuzi kafia kwa muuza supuuuManga kazi kwako ushindwe tena
Wewe, acha kutuzingua. Chukua kifaa hichoNishamaliza kwako yeye kapenda avator
We hujui funguo za gari aufunguo ndio nn
Ndo Manga sasa, hivi ulikuwa hujui eeehKwa uchochezi sikuwezi.Mie nampendaga tu Idris Elba jamani
Hamna, ndo mwenyewe huyohahahhh atakua anafanana nae tu
Mie saa tatu nshajifungianan huyo na usivyopenda maswali na sakayo ameshalala
We Manga hiyo avatar si ni wewe, auHa ha haa ila nlitaka kufanana nae huyo kamchochea Daby asa ivi yupo na husna
Wewe huyoooHata akinitaja nitamwambia samahani amechelewa
WarereeeeJisikie hulu kwenye uzi huu Honey Faith
Nilikuwa kanisani mamii... si wajua mi mzee wa kanisa??Shkamoo
Kama ulivyoona swali, tafuta na jibu lake!!
Babu wa uhai Wangu huwa unaendaga wapi lakini
Mie mbona nsharudi mapema tuu babu love!!Nilikuwa kanisani mamii... si wajua mi mzee wa kanisa??
Leo ilikuwa zamu yangu kuhesabu sadaka...
Ha ha haaa unazani mimi nahitaji yeyote?Mbuzi kafia kwa muuza supuuu
Habari za jumapili pacha