HeheheHahahahaha nimecheka kwa sauti mpaka paroko kanishangaa...
Zile like ulizonigongea kule, nikajua tu kuna kesi inakuja...
Hiyo red hapo.... hahahahahaa!!!
I love you more...
Am humbled! Am lucky!!Hehehe
Love you more!!! [emoji182]
Your welcome!! [emoji7] [emoji7]Am humbled! Am lucky!!
Nikutafute tugawane hiyo sadaka my dearest kikongwe.....Nilikuwa kanisani mamii... si wajua mi mzee wa kanisa??
Leo ilikuwa zamu yangu kuhesabu sadaka...
Hahahahaa unataka niende motoni peke yangu??Nikutafute tugawane hiyo sadaka my dearest kikongwe.....
Toa jibu acha kuzungukaaaHahahahaa unataka niende motoni peke yangu??
Am cummmmingg...Your welcome!! [emoji7] [emoji7]
Utanipa?Toa jibu acha kuzungukaaa
Naanzaje sasa kukunyima??Utanipa?
Husimuogope mnaniii tu atakujibu.Habari za weekend wana jf
Mwenzenu kuna MTU nimemzimia humu jf
Nikiona thread yake tu mapigo ya moyo yanabadilika, basi nitairudia kuisoma hiyo thread yani najiona ka Niko nae
Nilifikilia kumfuata pm but baadae nikaogopa nikaona anaweza akanuna akaja kunianika
Huku
Nifanye ñn?
Nimemaanisha kuna nilie mzimikia mii sio kama babu atakae nasa ndo huyohuyoHuyo sio yoyote, acha mbwembwe
Anza weweWe umejuaje, hebu nipe id yako ya zamani Manga
Na kweli nyie uongo ndo kweli na kweli ndo uongo ha ha haaaAcha mambo yako wewe, wanawake wanapenda kudanganywa
HeheheNimemaanisha kuna nilie mzimikia mii sio kama babu atakae nasa ndo huyohuyo
Sina bhana, mie wa juzi tuu humuAnza wewe
UmeonaeeeNa kweli nyie uongo ndo kweli na kweli ndo uongo ha ha haaa
Maranyingi haijibiki hadharani asa saa 3 wewe kuku ha ha haaHapana
Huwa naogopa kukaa mwenyewe usiku
Asipo kuomba tam ungeza ibada yani unamikosiNikutafute tugawane hiyo sadaka my dearest kikongwe.....