Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
yupo serious [emoji23]Serious kwani hajui umeolewa au??? We Manga, usije fanya kweli wewe, Shunie ako na watoto na mume yake!! Utani unaishia hapa kwa huu uzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yupo serious [emoji23]Serious kwani hajui umeolewa au??? We Manga, usije fanya kweli wewe, Shunie ako na watoto na mume yake!! Utani unaishia hapa kwa huu uzi
Maksudi au ndo maradhiWe una fanya makusudi bhana!!
We apo umeutegua moyo wangu toka asubuhiUnauvunja moyo wangu ujue...
bas Babu sikuhalibii tena nisameheAsa mbona unataka kuniharibia kwa waridi la moyo wangu??
Amekuapa jibu?Nshamjibu kitambo shemeji
Sikuachihahahhhh eb niache
Unaniuliza tena, mie nakuwaga kwa bedEt unakuaga wapi night
Ha ha haaa pacha wako huyoMpaka hapo hujaelewa tuu
Pale ulipoanzia asubuhiSithubutu kukufanyia makusudi. Ntaanzia wapi kwa mfano??
Ni nani huyo mwenye bahati hiyo?? Utaniua kwa wivu ujue...Unavyobofya kitufe cha like kwa nguvu unatamani zimfikie kumi badala ya moja
Si unaona sasaNipo nae huko Babu yako nimemfuma kwenye mambo ya watu wazima
Mapaka kofi la tako ha ha haanimeshaelewa [emoji23]
Mmmmmh
Sana tuuhahahhh kumbe inakukutaga na ww
hahahhhNi nani huyo mwenye bahati hiyo?? Utaniua kwa wivu ujue...
EehnSikuachi
Misa ya kwanza inatokamo saa ngapi, au ndo umetoka saa naneningechunguliaje humu
Hafu babu hem mwambie mjukuu wako mimi nimemzimikia
kofi la tako [emoji15]Mapaka kofi la tako ha ha haa
hahahhh watu tuna mioyoSana tuu