Sitaki kisikia hiloUmesikia Manga
SanaaHahahahaa naona umeikomalia balaa...
Ko umechukia?
Hapana hii nilisemea kwa wataalam mimi sina njia za ulaghaihuyo anataka ukweli unakumbuka kauli yake akipewa no au akiruhusiwa pm mtu ameisha [emoji23]
hahahhahHapana hii nilisemea kwa wataalam mimi sina njia za ulaghai
Nimechukia sanahahaha halaf ule uzi sijasoma
Wala mimi staki kupangwa panganeni wenyewe.Mpo wengi mababy wa utani ata Daby nae anataka kuwa baby wa utani
Nisamehe mpenzi... no strings attached. Mi ni wako peke yako bhana...Sanaa
Hiyo si ndo ilikuwa kichocheo, na umeanza nayo
Hivi kwa nini manafunga kuna utani mwingine unataka huko ujue?Hapo pagumu
PoleManga ntatoa usafiri wa pande zote.
Hahahahaha leo unanifurahisha sana asee...Nimechukia sana
Shauri yako, kaa na kiburi chakoSitaki kisikia hilo
Kwa hiyo kujuana nako dhambi jmn?Hapo ndo sielewi!!
HeheheWala mimi staki kupangwa panganeni wenyewe.
Nshakusamehe sweetieNisamehe mpenzi... no strings attached. Mi ni wako peke yako bhana...
Sielewi hapoHivi kwa nini manafunga kuna utani mwingine unataka huko ujue?
[emoji15]Mpaka nimelowa
AsantePole
Kumbe nikichukia we wafurahi eeeh, kaendelee na Paprika ili nikichukia zaidi we ufurahi zaidi, huwa napenda kukuona umefurahi hata kama mie naumiaHahahahaha leo unanifurahisha sana asee...