Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nikipata mda nitaupitiaNimechukia sana
Mimi nataka kuunganisha vikojoleo... yaani nikuite baby jaman niishie kufa na hamu zangu na chura wote yule wa Shunie? ?Hehehe
Unamsimamo ka mgambo
hahahahhahhWala mimi staki kupangwa panganeni wenyewe.
kufunga nnHivi kwa nini manafunga kuna utani mwingine unataka huko ujue?
Khaaa hii ndio inaitwa "Nimekusamehe lakini sitakusahau"Kumbe nikichukia we wafurahi eeeh, kaendelee na Paprika ili nikichukia zaidi we ufurahi zaidi, huwa napenda kukuona umefurahi hata kama mie naumia
Sio dhambi ila huku ukishajuana na mtu hauwi tena comfortable labda ubadili idKwa hiyo kujuana nako dhambi jmn?
kanichekesha sana DabyHehehe
Unamsimamo ka mgambo
Nitakuwa Mimi..njoo usiogope
Kaone kanavyocheka...eeeh ebu niambie mmeishia wapi na Manga.hahahahhahh
Ya ibada na kufichwaAsante
Ila ya nini hiyo pole
sina chura mm acheni hadithi za usikuMimi nataka kuunganisha vikojoleo... yaani nikuite baby jaman niishie kufa na hamu zangu na chura wote yule wa Shunie? ?
Umeona eeh hiyo ya kupangana apana bhanaaWala mimi staki kupangwa panganeni wenyewe.
Ukonfotabo ningeukosa mimi... najuana na watu sio chini ya 20 humuSio dhambi ila huku ukishajuana na mtu hauwi tena comfortable labda ubadili id
kanichekesha sana Daby
AsantePole
Lucky to have you my hubby [emoji173]Thats my love...
Love you mingimingi...
Ibada imeenda vyema mpendwa. Tumeagizwa upendo tu tena ule usiowakinafikiYa ibada na kufichwa
Sawa mamynikipata mda nitaupitia
Chura yupo hapo nyuma yako. .. au hadi nimshike [emoji4][emoji4]sina chura mm acheni hadithi za usiku