We umejuaje babuNdo ukome kuchangia mabwana...
Hahahaahahaaa yani leo unanivunja sana mbavu...Halafu sielewi, tangu Espy aingie humu ndani majibu yako ni Khaaa, ni nini tatizo babu love
We kuchangia raha asikuambie mtu, hapa nakuwinda wewe hadi nishee na sakayo[emoji12] [emoji39] [emoji39]Ndo ukome kuchangia mabwana...
Nakajua sana hako kamchuchu...We umejuaje babu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Halafu sielewi, tangu Espy aingie humu ndani majibu yako ni Khaaa, ni nini tatizo babu love
Sijui nini sasa, mbona wakwepa swali languHahahaahahaaa yani leo unanivunja sana mbavu...
Ni vile hujui tu
Hakuhusiki kote huko labda useme kikojoleo hunaMm mbele sijulikani wala nyuma sijulikan
Vipi ulishapona kale kaugonjwa au bado?Nakajua sana hako kamchuchu...
HeheheWe kuchangia raha asikuambie mtu, hapa nakuwinda wewe hadi nishee na sakayo[emoji12] [emoji39] [emoji39]
Umemjulia wapi babuNakajua sana hako kamchuchu...
hahahhhh was was gan dada unapataKuna muda unakuwaga muoga mpaka napata wasi wasi
Umeona jibu lako lakini, mie sikuelewi kabisaa
akijibu niite nimeshindwa ata kumuulizaHebu ntonye shost, sababu ya wewe ku move on
hahahhh husna haweziBado kidogo aje kututimua hapa
na mm nakuja[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Eti kumove on!!
Labda inbobo sio hapa.
Eeeh[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Namdai hajanilipa hela zangu.
hahahhhh nilitaka kuulizaHalafu sielewi, tangu Espy aingie humu ndani majibu yako ni Khaaa, ni nini tatizo babu love
Nimemiss kula hela zake maana shughuli yenyewe ndio vile tena, ni kibogoyo ila anapenda nyama hatari.Hehehe
Babu ukuje hapa, kumbe eeeh